mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Mkuu,The Roman Catholic Church ambao utajiri wao haujaweza kuhesabiwa exactly ila hawatajwi kwababu mara nyingi records zao ni ngumu kuzipata zote labda tu kwa makadirio.
"I care not what puppet is placed upon the throne of England to rule the Empire on which the sun never sets. The man who controls Britain’s money supply controls the British Empire, and I control the British money supply."Stori za vijiweni hizi
RC matajiriRockefeller ni matajiri sana lakini eti Google wanasema Elon musk ndo tajiri kuliko wote shut up 🤣🤣🤣.. Ila kwa roman catholic church apo umetupiga hawawez mzidi Elon musk wala Mukesh Amban
RothschildHao Rothchild na Rockefeller nani zaidi?
Hakuna Tajiri yoyote wa mafuta hata ukiwa sio King, Mmiliki Mwenza wa Twitter na Tajiri ambaye aliwahi kuchuana na Bill gate Prince Waleed ambaye yupo Ufaransa hana hata Time na ufalme wa Saudi ana miaka kama 7 Forbes hawamlist tena.Yule wa al saud haesabiwi sababu ni king,wealth ya nchi nzima ni yake, kwaio wealth zao ni generational ndo maana kwenye families hua hawamueki
Bg ni guruUsiwe malize maneno kaangalie investment portfolio ya SSB then uone , usifananishe ego za Mo na Bakhressa ni watu tofauti ...SSB sio mpiga kelele kama unavyofikiria ....We unaangalia sijui mtu kusoma anaongea sana .
SSB sio motivational speakers wala mkariri kingereza ,anafanya biashara kweli na umri wake hana haja ya kushindana na mtu .
SSB ndio kashika nchi ana viwanda kibao ...Acha ubishi na uongo vyakula vinavyouzwa nchi hasa ufuta ambao nido una pesa nyingi sio wa Mo ...Mo anavamia kila uwekezaji kwa kumuiga bakhresa.
View attachment 3077915View attachment 3077916
Usichojua ni kwamba Rothschild ndiye mlinzi na mtunzaji na msimamizi wa hazina ya Vatican.Rockefeller ni matajiri sana lakini eti Google wanasema Elon musk ndo tajiri kuliko wote shut up 🤣🤣🤣.. Ila kwa roman catholic church apo umetupiga hawawez mzidi Elon musk wala Mukesh Amban
Hao Jamaa Kwa haraka haraka.....wanahusisha na muunganiko wa mtawala wa Egypt na Babylon enzi hizoooo.Brother forbes wao wanaweka matajiri wa halali na wale ambao wametaka biashara zao ziwe public.
Hao jamaa ndo wanamiliki mafuta duniani iwe direct au indirect, vita zote na uuzaji wa silaha wao ndo wafadhili, bank zote duniani hao jamaa wanamkono wao maana bank kuu zote unazojua wewe mpka federal reserve ujue ni wao.
Misaada yote na waibaji wakubwa wa mali hasa migodi sjui barick na wengine ote ni hao mbuzi.
Wanaiendesha Vatican.Usichojua ni kwamba Rothschild ndiye mlinzi na mtunzaji na msimamizi wa hazina ya Vatican.
Nyuma ya utajiri wa hii familia kuna Vatican.
More than 80%ya fedha ya world bank na uchumi wa dunia unamilikiwa na Vatican.
Hueezi kupigana vita kubwa duniani km ile ya Iraq na zingine bila Vatican kuridhia. Wakigeuza kisogo hiyo vita hutaweza kupigana.
Wanaiendesha vatcanUsichojua ni kwamba Rothschild ndiye mlinzi na mtunzaji na msimamizi wa hazina ya Vatican.
Nyuma ya utajiri wa hii familia kuna Vatican.
More than 80%ya fedha ya world bank na uchumi wa dunia unamilikiwa na Vatican.
Hueezi kupigana vita kubwa duniani km ile ya Iraq na zingine bila Vatican kuridhia. Wakigeuza kisogo hiyo vita hutaweza kupigana.