Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

Rothschild aliwahi kusema niruhusu nichapishe pesa (noti na sarafu za nchi) sitajali kuhusu nani anaongoza.

Wamefanikiwa kumiliki taasisi zote kubwa, World Bank, IMF. Na kila madhehebu makubwa, pesa ni kila kitu kuuendesha ulimwengu.
 
Mayer Rothschild alisema; mimi natoa na kudhibiti pesa ya
taifa na sijali sana nani anaandika sheria.

Wanaongozwa na sera ya ‘aliye na dhahabu ndiye huweka
sheria!’. Jamaa wameiteka dunia vizuri
zaidi, kwa mbinu ya kunyata pasipo kujulikana zaidi na watadumu kwa
muda mrefu.
 
Yule wa al saud haesabiwi sababu ni king,wealth ya nchi nzima ni yake, kwaio wealth zao ni generational ndo maana kwenye families hua hawamueki
Hakuna Tajiri yoyote wa mafuta hata ukiwa sio King, Mmiliki Mwenza wa Twitter na Tajiri ambaye aliwahi kuchuana na Bill gate Prince Waleed ambaye yupo Ufaransa hana hata Time na ufalme wa Saudi ana miaka kama 7 Forbes hawamlist tena.
 
Rothchild families, Hawa sio kwamba ni matajiri tu, Bali pia ndio wamiliki wa mifumo yote ya pesa ulimwenguni. they are very satanic! are the elites/illuminati working in darkness

YESU ni Kristo na Bwana
 
Matajiri wako arabuni,kuna waarabu wana hela kuliko hao wamarekani
 
Usiwe malize maneno kaangalie investment portfolio ya SSB then uone , usifananishe ego za Mo na Bakhressa ni watu tofauti ...SSB sio mpiga kelele kama unavyofikiria ....We unaangalia sijui mtu kusoma anaongea sana .

SSB sio motivational speakers wala mkariri kingereza ,anafanya biashara kweli na umri wake hana haja ya kushindana na mtu .

SSB ndio kashika nchi ana viwanda kibao ...Acha ubishi na uongo vyakula vinavyouzwa nchi hasa ufuta ambao nido una pesa nyingi sio wa Mo ...Mo anavamia kila uwekezaji kwa kumuiga bakhresa.

View attachment 3077915View attachment 3077916
Bg ni guru
 
Rockefeller ni matajiri sana lakini eti Google wanasema Elon musk ndo tajiri kuliko wote shut up 🤣🤣🤣.. Ila kwa roman catholic church apo umetupiga hawawez mzidi Elon musk wala Mukesh Amban
Usichojua ni kwamba Rothschild ndiye mlinzi na mtunzaji na msimamizi wa hazina ya Vatican.

Nyuma ya utajiri wa hii familia kuna Vatican.

More than 80%ya fedha ya world bank na uchumi wa dunia unamilikiwa na Vatican.

Hueezi kupigana vita kubwa duniani km ile ya Iraq na zingine bila Vatican kuridhia. Wakigeuza kisogo hiyo vita hutaweza kupigana.
 
Kwani M. Kikwete ana utajiri kiasi gani?🤔
 
Brother forbes wao wanaweka matajiri wa halali na wale ambao wametaka biashara zao ziwe public.

Hao jamaa ndo wanamiliki mafuta duniani iwe direct au indirect, vita zote na uuzaji wa silaha wao ndo wafadhili, bank zote duniani hao jamaa wanamkono wao maana bank kuu zote unazojua wewe mpka federal reserve ujue ni wao.

Misaada yote na waibaji wakubwa wa mali hasa migodi sjui barick na wengine ote ni hao mbuzi.
Hao Jamaa Kwa haraka haraka.....wanahusisha na muunganiko wa mtawala wa Egypt na Babylon enzi hizoooo.
Wanachimbuko la mbali sana
 
Usichojua ni kwamba Rothschild ndiye mlinzi na mtunzaji na msimamizi wa hazina ya Vatican.

Nyuma ya utajiri wa hii familia kuna Vatican.

More than 80%ya fedha ya world bank na uchumi wa dunia unamilikiwa na Vatican.

Hueezi kupigana vita kubwa duniani km ile ya Iraq na zingine bila Vatican kuridhia. Wakigeuza kisogo hiyo vita hutaweza kupigana.
Wanaiendesha Vatican.
 
Wanaiendesha vatcan
 
Back
Top Bottom