mkakaflani
JF-Expert Member
- Sep 30, 2023
- 702
- 2,716
Mkuu,The Roman Catholic Church ambao utajiri wao haujaweza kuhesabiwa exactly ila hawatajwi kwababu mara nyingi records zao ni ngumu kuzipata zote labda tu kwa makadirio.
Ukifukunyua sana unakuta chanzo cha utajiri wa Roman Catholic ni haohao Rothschild family