Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Wabantu wanabana kinoma ila wachina hawana noma kwanza wanakutegemea kwenye kuongea na wateja, kipindi Cha task force changamoto yeyote ya risiti lazima ww uhusike mchina anakua anaangalia tu (kama huna risiti ukiambiwa fine laki Moja we unasema laki tatuπ€£ mbili yako)Kuajiriwa dukani tu ni fursa tosha, sehemu yenye mzunguko wa biashara kama Kariakoo ukiwa na boss hakubanii ni mchongo yani.
Wachina hawana noma japo wengine ni miyeyusho ila nachopenda mchina anakupa chance ya kukua na biashara. Sio kama muhindi ambaye anakubana uchakae hadi ufe maskini na tabia hii wanayo wabongo wenzetu.Wabantu wanabana kinoma ila wachina hawana noma kwanza wanakutegemea kwenye kuongea na wateja, kipindi Cha task force changamoto yeyote ya risiti lazima ww uhusike mchina anakua anaangalia tu (kama huna risiti ukiambiwa fine laki Moja we unasema laki tatuπ€£ mbili yako)
Pia wale wateja wanaokuja dukani ww ndo unachukua mawasiliano yao na watsup group unali-manage ww...usipofanya jambo jipige kifua mara tatu sema Mimi ni zwazwa
Ndio maana dogo anakomaa sana pale[emoji23]Hakuna mshahara kuna makubaliano ya mkataba baada ya miaka ya makubaliano, unapewa pesa ya mtaji na chumba.
Hii kwa wakinga wenzangu wote wa kkoo tunafanya hivyo [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Napitia convo zako una nondo za kutosha [emoji3][emoji119]Wabantu wanabana kinoma ila wachina hawana noma kwanza wanakutegemea kwenye kuongea na wateja, kipindi Cha task force changamoto yeyote ya risiti lazima ww uhusike mchina anakua anaangalia tu (kama huna risiti ukiambiwa fine laki Moja we unasema laki tatu[emoji1787] mbili yako)
Pia wale wateja wanaokuja dukani ww ndo unachukua mawasiliano yao na watsup group unali-manage ww...usipofanya jambo jipige kifua mara tatu sema Mimi ni zwazwa
Mkinga anafilisika? Inawezekana,but wana akili kubwa sana hao kila kitu huwa kinaenda na mipango ya hali ya juuUkifilisika kabla ya muda wa mkataba kuisha inakuwaje?
Master kabisa[emoji23][emoji23]Sio rahisi, kuna vitu vingi vinakuwepo hapo katikati. Tuachane nayo, yeye akubali hivo atanishukuru
Hii nimechekaMe nachangamsha kijiwe wala sipo huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo bush napambana na hali yangu
Kaama winga ni hivyo nyie wakubwa je[emoji23], au basiKkoo winga ana maisha mazuri sana, kuna wale wanaotumia mizigo wafanyabiashara wa mikoani wenyewe wanachukua kwa wachina.
Ukitulia kkoo unapata pesa ya kuvimbia mtaani.
Sijafanya Kazi na watu wa jamii tofauti tofauti kiasi hicho ila mpaka sasa wachina naona ndo de best Aisee.Wachina hawana noma japo wengine ni miyeyusho ila nachopenda mchina anakupa chance ya kukua na biashara. Sio kama muhindi ambaye anakubana uchakae hadi ufe maskini na tabia hii wanayo wabongo wenzetu.
Nakuja pm nikisahau unikumbusheNapitia convo zako una nondo za kutosha [emoji3][emoji119]
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
πππππ ilibaki kidogo ugeuke chief godloveSijafanya Kazi na watu wa jamii tofauti tofauti kiasi hicho ila mpaka sasa wachina naona ndo de best Aisee.
Kuna siku boss Moja wa Lusaka alilipia mzigo 45M+ alilipia Moja Kwa moja kwenye account ya kampuni, then akanipa maelekezo kufika kwa mchina bei imepungua eq kama pisi Moja 13500 bas imeshuka mpaka 12400 afu kwa sababu mzigo ni mkubwa nikapata discount kidogo kwa kila pisi Aisee plus Hela ya Kazi, to be honest nlishika hela ambayo sijawahi shika kwa wakati Moja πilibaki kidogo nianze kuwaa motiveshno spika
πππKama hujazoea hela ni changamoto sanaπππππ ilibaki kidogo ugeuke chief godlove
Hahahah unaokota hela ya kununulia Crown ghafla lazma upagawe π€£ sema angekuwa boss mbongo hio hela iliozidi asingekupa. Au angekuwa mhindi asingetoa ila wachina wamenyooka.πππKama hujazoea hela ni changamoto sana
Ntakukumbusha brohNakuja pm nikisahau unikumbushe
Me mmatumbi πππKumbe we ni mpogoro na husemi
π€£π€£π€£π€£π€£wacha weeMe mmatumbi πππ
Dogo gani? πππNdio maana dogo anakomaa sana pale[emoji23]
ππππMkinga anafilisika? Inawezekana,but wana akili kubwa sana hao kila kitu huwa kinaenda na mipango ya hali ya juu
We kuna kitu unanitafuta nishaona πππKaama winga ni hivyo nyie wakubwa je[emoji23], au basi