Naomba kujuzwa mahali pazuri pa kufikia Zanzibar

[emoji1][emoji1] Dah!
Kwanza ukiwa Kule usiseme Guest, Znz kuna Guest ambazo ni Nyumba tu za kawaida na watu wanashare, Chumba kimoja analala mtu zaidi ya Mmoja. We nenda tu Hoteli.

Eneo zuri ambalo Hoteli bei Chini na halipo mbali na Mjini ni hapo Mlandege utazikuta hizo Super lodge Basarte na nyengine nyingi.

Stone town hotel za Hovyo ( za kitalii ) na Bei ndefu.
 
Mchamba wima
 
Bwawani siku hizi pamefungwa?
Nilifika hapo miaka ya 2000s ,pana amshaamsha flani.
 
Ndio madhara ya kukataa watanganyika kuwekeza huko..kisa sio wazenjo..ona sasa hata lodge hakuna..maisha gani haya.

#MaendeleoHayanaChama
 
Weeh ulizia kwa Mzushi tuu bei chee 20,000 mpk 25,000..ndo ninapo pigia mikasi hapo kama unaenda bara bara ya Benjamin Mkapa..inshort panajulikana sababu jamaa mwnyw ni mbishi kitambo mpk akapewa jina la Mzushi
 
Nenda ccm maisala na chakula hapo ni laki znz hotel ni bei mbay au yuma ya ccm kukahotel
 

Sijawahi kuzielewa zile Hoteli za Stone Town ya yale mabei. Wazungu sio wazima kabisa
 
Kumbe na hoteli Kuna ku bargain?
It has never crossed my mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…