Uliwezaje kuingia wakati wana kibango kinasema ukiingia na jinsia tofauti lazima uoneshe cheti cha ndoaZanzibar kuna hotel inaitwa Baraste lodge kagorofa flani hivi, madem zangu wawili nilifika nao hapo kwa nyakati tofauti pale ni pazuri sana sema kwa siku ni 65,000 kuendelea , chumba kikubwa full ac , friji, viatanda viwili ukienda hatanna watoto fresh, choo bafu humo humo , asubuhi unapata breakfast safi
Sema kwa kipindi hichi ukilia nao 60 hadi 65 unapata chumba cha gorofani safii tu full ac
binadamu siku zote anathamini kitu ambacho hana, hata sisi Tunashobokea Toyota used na wao wanatushangaa maana kwao zimetupwa tu.Sijawahi kuzielewa zile Hoteli za Stone Town ya yale mabei. Wazungu sio wazima kabisa
Hata mi nashangaaga basi wanatuchaji bei kubwa si waboreshe na mazingira, utakuta tutanda twa hostel kagodoro kameishaa tv ipo lakini mbovu, friji ipo lakini pia mbovu ac ikiwashwa inunguruma kama garibovu afu unaambiwa ulipe sh 120,000 per night. Siriaz!Sijawahi kuzielewa zile Hoteli za Stone Town ya yale mabei. Wazungu sio wazima kabisa
Unalosema sio kweli, mbona kuna watu wa huku wana hoteli hukoNdio madhara ya kukataa watanganyika kuwekeza huko..kisa sio wazenjo..ona sasa hata lodge hakuna..maisha gani haya.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna guest zina vitanda vya cement, ni hizi za bei nafuu.
Ili iweje mkuuMchek Afande Rama