Naomba kumjua tu Kiongozi wa Simba SC aliyeshindwa Kukamilisha Dili la Khalid Aucho kutua Msimbazi na Yanga SC wakamuwahi na kutua Kwao rasmi

Kwahiyo kwavile timu aliyokuwa haikuwahi kufika robo fainali, basi timu kama Al Ahyl, Zamalek au hata Pyramid, walikuwa hawachezi nao kwenye ligi?...
Huwezi kuwa ranked na caf kuwa club bora afrika kama uchezi champs league
 
huwezi kuwa ranked na caf kuwa club bora afrika kama uchezi champs league
Jibu swali wewe! Ina maana kwavile hawajawahi kucheza robo fainali, ndo hawawezi kucheza na akina Al Ahyl wakato wote wanacheza kwenye ligi hiyo hiyo?!
 
Kama yeye ni bora sana asingekuja Yanga timu ya kiwango cha chini kabisa Africa
 
Namfananisha na Sergio Busquets wa zaman, hakamii mpira anatumia akili na mtulivu mno. Uyu jamaa na Bangala ni viungo haswa.
 
Yanga haijakutana na hao watu, mbona akina Kamusoko/Shishimbi walishawahi kuichakaza Al Ahly taifa na kule ugenini Al Ahly mpaka possession hakuongoza? Je ina maana wale ni bora kuliko viungo wa kipind kile wa Al Ahly.

Kuna muda mfumo unaweza ukabeba timu na kufunika udhaifu wa wachezaji, ndo maana akina Iniesta na Xavi hawakuwezs kupigiwa debe kununuliwa cause walijua ni mfumo ndo umewafanya wawe vile.

Aucho ulimtazama ktk ile Derby? Kiwango chake mbali na Bangala, kuna kiungo yoyote ndan ya Yanga na Simba aliyeonesha uwezo nusu yake?
 
Wewe unajua aucho mpaka anakuja Yanga alitokea timu gani? Huko alikokuwa unadhan ahajakutana na hao viungo Bora unaowasema au unaropoka Kwa mechi alizocheza hapa bongo tu...
Ndio engine eneo la kiungo mkabaji pale UG. Anakuja mbongo apa anamweka level moja na mkude.
 
Kama ukiwaunganisha viungo hao wote wa Simba ndiyo utampata Aucho basi huyo Aucho ndiyo mchezaji bora wa dunia hii kama Africa tu hapamfai

Cha ajabu yupo utopoloni badala ya kuwa hata WYDAD , MAMELOD , MAZEMBE , AL AHLY

Hivi Al Ahly hawakumwona hadi waje kumchukua LUIS? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ukiwaunganisha viungo hao wote wa Simba ndiyo utampata Aucho basi huyo Aucho ndiyo mchezaji bora wa dunia hii kama Africa tu hapamfai...
Kweli mabashite mpo wengi,kwani Miksoni anacheza nafasi gani na Aucho anacheza nafasi gani?
 
Kuna watu uwezo wenu wa kificha ujinga uko chini Sana. Yaani Mzamiru kucheza na Al Ahly ndo amekuwa kiungo Bora kuliko wote ambao hawajawahi kucheza na Al Ahly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…