hata kama wewe ungekuwa mchezaji imungependa kucheza champs league hilo halina ubishiUmeanza kufuatilia soka lini?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kama wewe ungekuwa mchezaji imungependa kucheza champs league hilo halina ubishiUmeanza kufuatilia soka lini?!
Huwezi kuwa ranked na caf kuwa club bora afrika kama uchezi champs leagueKwahiyo kwavile timu aliyokuwa haikuwahi kufika robo fainali, basi timu kama Al Ahyl, Zamalek au hata Pyramid, walikuwa hawachezi nao kwenye ligi?...
Nasubiri jibu,but nahisi itakuwa masaburiMkuu anakukuna sehemu gani?
Match ya Sumba na Yanga alikutana na viungo gani mpaka mkapoteana pale kati?unakabana na viungo ambao hata mshahara hawapati alafu unasifia.
Jibu swali wewe! Ina maana kwavile hawajawahi kucheza robo fainali, ndo hawawezi kucheza na akina Al Ahyl wakato wote wanacheza kwenye ligi hiyo hiyo?!huwezi kuwa ranked na caf kuwa club bora afrika kama uchezi champs league
HakuwepoHivi aucho hakuwepo kwenye mechi yao na rivers mazee?
Namfananisha na Sergio Busquets wa zaman, hakamii mpira anatumia akili na mtulivu mno. Uyu jamaa na Bangala ni viungo haswa.Nilijua tu wapenda timu watakuja na mawazo ya namna hii but kwa watu ambao ni wanasoka i mean wale wenzangu na mm wapenda soka tunasema kwa pamoja kwamba Aucho ni Classic player, mkuu acheni kupenda timu pendeni mpira utaishi vizuri sana kwenye maswala ya soka.
Ndo maana nimekuuliza umeanza kufuatilia soka lini!! Champion League hata KMKM wanashiriki!!hata kama wewe ungekuwa mchezaji imungependa kucheza champs league hilo halina ubishi
Aston Villa alikuwa kwenye viwango gani vya soka Ulaya wakati Jack Grealish alipokuwa hapo, hadi City wanalazimika kuvunja benki ili kumng'oa?!Kama yeye ni bora sana asingekuja Yanga timu ya kiwango cha chini kabisa Africa
Yanga haijakutana na hao watu, mbona akina Kamusoko/Shishimbi walishawahi kuichakaza Al Ahly taifa na kule ugenini Al Ahly mpaka possession hakuongoza? Je ina maana wale ni bora kuliko viungo wa kipind kile wa Al Ahly.anacheza na viungo gani, usimsifie anaekimbia muangalie na anayemkimbiza pia. viungo wa simba wamecheza na viungo bora kabisa afrika wakiwemo wale viungo wa mabingwa mara nyingi afrika yaani al ahly na mabingwa wa pili afrika yaani tp mazembe na bado wapo kimya. aucho amecheza na viungo gani wa maana. mbona swali rahisi sana
Ndio engine eneo la kiungo mkabaji pale UG. Anakuja mbongo apa anamweka level moja na mkude.Wewe unajua aucho mpaka anakuja Yanga alitokea timu gani? Huko alikokuwa unadhan ahajakutana na hao viungo Bora unaowasema au unaropoka Kwa mechi alizocheza hapa bongo tu...
Duh kumbe tunabishana na Bashite hapakutoka 2013 hadi 2021 aucho ana magoli 9, what a garbage?
Muunganiko ulishapatikana kwenye match ya Hisani,au hukuuona?vipi kwanza yanga ishapata muunganiko au bado
Kama anakukuna basi sawa...[emoji12]Unahitaji Chama, Bwalya, Mkude, Muzamiru, Lwangana hata Ndemla ili angalau tu kuufikia uwezo mkubwa alionao Kiungo ninayempenda na namkubali wa Yanga SC Khalid Aucho...
Kweli mabashite mpo wengi,kwani Miksoni anacheza nafasi gani na Aucho anacheza nafasi gani?Kama ukiwaunganisha viungo hao wote wa Simba ndiyo utampata Aucho basi huyo Aucho ndiyo mchezaji bora wa dunia hii kama Africa tu hapamfai...
Tuwaulize nyau alipigwaje ikiwa timu haina muunganikovipi kwanza yanga ishapata muunganiko au bado
Kuna watu uwezo wenu wa kificha ujinga uko chini Sana. Yaani Mzamiru kucheza na Al Ahly ndo amekuwa kiungo Bora kuliko wote ambao hawajawahi kucheza na Al Ahly?usimsifie anayekimbia angalia na anayemkimbiza. viungo wa simba wamecheza na kuwafunika viungo wa al ahly na tp mazembe, yaani timu bora za afrika.aucho anakabana na viungo wa kagera na friends rangers ambao hata mishahara hawapati unakuja kuongea upupu hapa