Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Umemalizaa?! Ukiona iko nje ya uwezo au upeo wako usijibu.
Mbna nimeweka msisitzo ktk swali, wanaotakiwa kujibu ni kina nani? Aaaah
sema wajukuuzako sio wadogo zako.wee mzee mbona unajidogosha?Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume
Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji
Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji ndoa wengi wamejikuta wakiangukia kwenye mikono ya wanaume wasio sahihi
Kuna kauli moja mabinti wenye kutaka ndoa wanaitumia bila kujua madhara yake! Hii kauli ya kusema "hata nikimpata anayepumua tu inatosha!"
Wadogo zangu wa kike hakuna kauli ya kiwaki kama hii... Unaingia kwenye ndoa na sio kwenye mapenzi.. Kauli huumba na Mungu humpa kitu alichokiomba!
Hivi mnajua kwa hakika mwanaume anayepumua tu yukoje!? Si mlemavu wa viungo ama akili.. Bali ni mlemavu wa ufahamu na kujitambua yeye ni nani na anapaswa kufanya nini kwa wakati gani
Unaingia kwenye ndoa ambayo ni mahusiano ya kudumu mpaka talaka itakapowatenganisha! Kifo ni mustakabali
Unapaswa kuwa na mtu anayejitambua, anayejali, anayeweza kubeba majukumu ya baba.. Na anayeweza kuzikabili changamoto kwa weledi kwa hekima na kwa utulivu
Mwanaume anayepumua tu ni yule ambaye utamuacha kitandani uende kazini ukiwa umeshamuandalia mpaka chai, Ataamka kwa kuchelewa, hawezi kutandika hata kitanda. Atakunywa chai na kuacha kila kitu hapo.. Hatafanya chochote mpaka urudi ufanye vyote na bado usiku umpe!
Wengine anaweza kuwa na kazi lakini huoni tofauti yoyote na asiye na kazi majukumu yote unayabeba wewe. Mwanzoni mwa ndoa utaona kama utaweza.. Lakini taratibu mkishazoeana utaanza kuliona tatizo! Na tatizo litazidi kujipambanua kadiri familia itakavyoongezeka. Watoto, Wafanyakazi, Biashara, Ufugaji nk
Utajikuta usipofanya wewe yeye hagusi kitu.. Matumizi ya nyumbani
Mahitaji ya watoto shuleni na nyumbani. Mishahara ya wafanyakazi. Manunuzi ya vitu kama mna biashara. Kuhudumia mifugo kama mnafuga nk
Ikitokea umepata safari ya siku chache tu ndio utaliona tatizo kubwa katika uhalisia wake..utakuta kila kitu kimeparaganyika Hesabu kwenye biashara, Manunuzi hakuna, Loss kama zote. Kama ni mifugo si ajabu kukuta mingine imekufa kwa kukosa huduma na mingine kupotea kwa kukosa ufuatiliaji.
Anaweza kufanya kikubwa ni matumizi ya pesa zako.. Ana we za Ku control mpaka account zako. Anachoweza kingine ni kukuzalisha kila mwaka bila kujali future ya hao watoto. Mwisho wa siku unajikuta unajutia majuto yasiyo na faida.. Unajikuta binti mdogo unazeeka kabla ya umri na kuandamwa na magonjwa yatokanayo na msongo wa mawazo
Nina mengi ya kuandika.. Lakini ya msingi ni haya! Kama ukiisoma hii mada na kuielewa naamini utabadili mtazamo wako kuhusu mwanaume wa kukuoa
Chelewa kuolewa lakini olewa na mtu sahihi.. Si wali nazi wala si mwanaume suruali wala si yule anayepumua tuu
Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoajiNdoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume

Kilinge ameshakiacha. AmeokokaZodiac and Numerology ni muhimu kwa mwanadamu hasa kwenye kupengele cha kusudio la muunganiko wa kipindi cha muda mrefu. Nakurudishia pasi mzee wa kilinge kwako Mshana jr
Mwanaume ukitaka kuoa hakikisha unakuwa tayari kuwajibika kutunza mke wako sababu hilo ni jukumu lako na sio la mzazi wako au mtu mwingine yeyote. Kuna tofauti kati one night stand sex na kuoa. Kama hutaki kutunza mke wako endelea na uhuni wakoNdoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume
Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji
Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji ndoa wengi wamejikuta wakiangukia kwenye mikono ya wanaume wasio sahihi
Kuna kauli moja mabinti wenye kutaka ndoa wanaitumia bila kujua madhara yake! Hii kauli ya kusema "hata nikimpata anayepumua tu inatosha!"
Wadogo zangu wa kike hakuna kauli ya kiwaki kama hii... Unaingia kwenye ndoa na sio kwenye mapenzi.. Kauli huumba na Mungu humpa kitu alichokiomba!
Hivi mnajua kwa hakika mwanaume anayepumua tu yukoje!? Si mlemavu wa viungo ama akili.. Bali ni mlemavu wa ufahamu na kujitambua yeye ni nani na anapaswa kufanya nini kwa wakati gani
Unaingia kwenye ndoa ambayo ni mahusiano ya kudumu mpaka talaka itakapowatenganisha! Kifo ni mustakabali
Unapaswa kuwa na mtu anayejitambua, anayejali, anayeweza kubeba majukumu ya baba.. Na anayeweza kuzikabili changamoto kwa weledi kwa hekima na kwa utulivu
Mwanaume anayepumua tu ni yule ambaye utamuacha kitandani uende kazini ukiwa umeshamuandalia mpaka chai, Ataamka kwa kuchelewa, hawezi kutandika hata kitanda. Atakunywa chai na kuacha kila kitu hapo.. Hatafanya chochote mpaka urudi ufanye vyote na bado usiku umpe!
Wengine anaweza kuwa na kazi lakini huoni tofauti yoyote na asiye na kazi majukumu yote unayabeba wewe. Mwanzoni mwa ndoa utaona kama utaweza.. Lakini taratibu mkishazoeana utaanza kuliona tatizo! Na tatizo litazidi kujipambanua kadiri familia itakavyoongezeka. Watoto, Wafanyakazi, Biashara, Ufugaji nk
Utajikuta usipofanya wewe yeye hagusi kitu.. Matumizi ya nyumbani
Mahitaji ya watoto shuleni na nyumbani. Mishahara ya wafanyakazi. Manunuzi ya vitu kama mna biashara. Kuhudumia mifugo kama mnafuga nk
Ikitokea umepata safari ya siku chache tu ndio utaliona tatizo kubwa katika uhalisia wake..utakuta kila kitu kimeparaganyika Hesabu kwenye biashara, Manunuzi hakuna, Loss kama zote. Kama ni mifugo si ajabu kukuta mingine imekufa kwa kukosa huduma na mingine kupotea kwa kukosa ufuatiliaji.
Anaweza kufanya kikubwa ni matumizi ya pesa zako.. Ana we za Ku control mpaka account zako. Anachoweza kingine ni kukuzalisha kila mwaka bila kujali future ya hao watoto. Mwisho wa siku unajikuta unajutia majuto yasiyo na faida.. Unajikuta binti mdogo unazeeka kabla ya umri na kuandamwa na magonjwa yatokanayo na msongo wa mawazo
Nina mengi ya kuandika.. Lakini ya msingi ni haya! Kama ukiisoma hii mada na kuielewa naamini utabadili mtazamo wako kuhusu mwanaume wa kukuoa
Chelewa kuolewa lakini olewa na mtu sahihi.. Si wali nazi wala si mwanaume suruali wala si yule anayepumua tuu
Mtu anakimbilia kuolewa na mtu ambaye kashindikana na mamaake kwa matumaini kwamba atambadili😩Mwanaume ukitaka kuoa hakikisha unakuwa tayari kuwajibika kutunza mke wako sababu hilo ni jukumu lako na sio la mzazi wako au mtu mwingine yeyote. Kuna tofauti kati one night stand sex na kuoa. Kama hutaki kutunza mke wako endelea na uhuni wako
Mkuu YULE SHOGA ameingilia uzi ACHA TUMUOMBEE daaaaah na amevuruga hal ya hewa ,,, AMETUTOA KWENYE UZI KABISAAA sasa tunajadil ushoga lina eleweshwa HALIELEWI eb tuliache
Upo sahihi kbsa mkuuUjumbe umekaa njema
Ila wanawake kwa sasa wanavuna walichokipanda , miaka Kama 20 iliyopita hali haikuwa hivi kabisa.
Nakumbuka kumpata Mwanamke ulikuwa mchakato mgumu Sana .
Ila leo demand and supply imekuwa tofauti , wanawake wanatafuta Sana Ndoa na wengine ukimleta kwako anakabia juu kwa juu. Hataki kurudi kwao
Waache kujichukilia for granted wajipe thamani Kama ilivyokuwa zamani watazipata ndoa .
Umejitahid kulijib ila halielewi KWELI SHOGA NI SHOGA TUUUAlitaka kuvuruga mada - Ila ndo hivyo kichwa hakifanyi Kazi
HakikaUmejitahid kulijib ila halielewi KWELI SHOGA NI SHOGA TUUU
(6,832) Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe | JamiiForums Mada maalum ya walevi na wanywa PombeBro mshana, nje ya mada, natafuta uzi wako wa ulevi.