Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

Halafu ndio likataka kubeba mjadalaπŸ˜†
 
OK sawa.. Nilimjibu kwa muktadha wa mada, sikutaka kutoka nje ya mada.. Nadhani weekend hii panapo majaliwa nitaleta mada nyingine ya kiumeni.. Kuna point kadhaa hapo umegusia zitakuwepo but one thing for sure za kutetea ushoga in any way hazikuwepo au hazitakuwa entertained
 
Sasa wee mbona unaleta hizo hoja za wanyama, km ulijua tunazungumzia binadamu pekee?

Hivi unajua hata unacho eleza lakini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nadhani hukuelewa swali la msingi ndio maana imefanya hata swali lililofuata ukachabanga
 
Kwahiyo mjukuu mtu anayepinga ushoga ama mwenye mtazamo hasi kuhusu ushoga ana akili finyu!!?πŸ˜©πŸ€”πŸ₯Ί Na mtu anaye support ushoga ana uelewa mkubwa!?πŸ€”πŸ₯Ί
 
Kwahiyo mjukuu mtu anayepinga ushoga ama mwenye mtazamo hasi kuhusu ushoga ana akili finyu!!?πŸ˜©πŸ€”πŸ₯Ί Na mtu anaye support ushoga ana uelewa mkubwa!?πŸ€”πŸ₯Ί
Shida sio kupinga, je unapingaje? Ktk huko kupinga unawasilisha vipi pingamizi lako, pasipo kuleta mushkeri au sintofahamu kwa wote.

Ni hivyo tu babu.
 
Shoga mwenye hofu ya Mungu πŸ˜‚ dah ya Leo kali
Mungu aliumba jinsia mbili tofauti.. Mungu hakuumba shoga wala msagaji.. Haya mawili mimi huwa nayaweka kwenye kundi la ulemavu.. Na hakuna aliyechagua kuwa mlemavu..
Nina staha kubwa sana kwa wale wote bila ridhaa yao ama kutokana na matendo ya kibinadamu wakapata ulemavu.. Lakini tusifanye hili kosa la kumlinganisha mlemavu na asiye mlemavu kama watu sawa
 
Shida sio kupinga, je unapingaje? Ktk huko kupinga unawasilisha vipi pingamizi lako, pasipo kuleta mushkeri au sintofahamu kwa wote.

Ni hivyo tu babu.
Kwahiyo ili aonekane hana akili finyu anatakiwa apingeje kwa mfano?
 
Nadhani hukuelewa swali la msingi ndio maana imefanya hata swali lililofuata ukachabanga
Wee ndo uliye chabanga, swali lako nili elewa na nikajibu vizuri kabisa, unless wee ndo useme ulikosea namna ya kuuliza hilo swali lako.

Na nikuombe karudie tena kuangalia swali lako, na uangalie nilivyojibu, afu utaona. Yupi yuko sahihi kati yetu kwa nafas yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…