Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

Anabaki hivyo alivyo kivipi? kua mlevi ni sifa nzuri? mzinzi ni sifa nzuri? mwizi ni sifa nzuri? mchawi ni sifa nzuri? fisadi mla rushwa ni sifa nzuri? muuaji je? hao wote umewafikiria jinsi wanavyoleta kero na kutia kinyaa kwenye jamii zao? Kwa hiyo kwako hao walevi na wezi ni mashujaa zako ila shoga ndio anakukereta? kwanini na hao tusiwakemee au kwa vile hizo tabia kuna mbili tatu unazo ndio maana unajaribu kuzifukia fukia na kunyooshea vidole watu wazima wawili walioamua kwa hiyari yao kutumia miili yao vile wanavyotaka wao?
 
Kwa maelezo haya basi bado hujaelewa maana ya malezi kwa mtoto, kasome na fanya utafiti ipasavyo juu ya malezi ya mtoto
 
hii sio comment, ungefungua uzi wako wewe
 
Kwa maelezo haya basi bado hujaelewa maana ya malezi kwa mtoto, kasome na fanya utafiti ipasavyo juu ya malezi ya mtoto
Sawa Mkuu, mimi najifunza daily kiongozi. Ni vyema ukamwaga elimu hapa ya kile unachokijua wewe juu ya haya mambo watu tujifunze pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…