Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Chiwawa umejiunga juzi tu halafu leo unaanza kukoromea watu kwamba hawakupendi...!!??

Una post ngapi humu jukwaaani zinazoonyesha chuki dhidi yako,...!!??

Wewe chiwawa ndo hupendi wenyeji wako.
 
Mimi nakushauri tu...Rudi FB,usubiri pongezi za besidei tuyu kila mwaka kutoka kwa narafiki zako wa shule ya upili.
 
Kwani mimi kusoma energy za watu na kusema kinacho nisibu ndo iwe kuwa ni na matatizo?

I can sense the hate and negative energy from people, I can sense that they're afraid engaging with me due to the fact that I don't sugar coat experiences, whenever something is off, I say right away.

Watu hawapendi kuambiwa ukweli Mchungu, hawapendi kuambiwa madhaifu yao, na Ukisema wanaanza kukuzushia sijui wewe kichaa, sijui naumwa na vitu kama hivyo, ilihali wao ndo wako triggered kuona kuwa wanamakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…