Naomba mnisaidie niweze kula vizuri๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ

Kubadilisha vyakula una
Nimevikinai tu ila juzi kati nilikula Thai food nilifurahia sana ila sijapata wakunielekeza kukipika so sina shida ya appetite
Taka
Kuna sea foods kibao zama ferry hapo nunua nenda kapike,

Kuna Chinese food, sijui vyakula vya kiitaliano.....

Tafuta kitabu Cha mapishi ujifunze ama YouTube......

we kabila gani kula na vya kikabila
 
Make kwanza nicheke๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Nipe list ya hivyo vitu nikanunue puliz.๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
Hiyo menu hapo chini nilijua tu wewe ni chef.
 
Ni kweli mkuu Nitazingatia hilo japo sio rahisi
 
Basi hapa mdogo wangu Lamomy akifika jiandae kukusagia kunguni eti bby wangu mpishi forodhani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
By the way msosi unaonekana mtamu tunasave na nini?
 
Mimi ushauri wangu punguza vyakula vya michuzi,sijui hizo njegere za nazi,mara mchuzi wa wa sangara mara dikodiko kama la birian utakinai sana.....Bad ilishanishinda spices,unaweza amua kupika nyama ukaitia kitunguu,ndimu na chumvi tu....kaanga iwe ya brown kaanga mzuzu kula .. au chemsha viazi ulaya vikiiva vizuri vimekauka maji vizuri ila havijaungua tea blue band yako kiasi @ kuvisonga mpaka vilainike kula @,Sometimes nunua mahindi mabichi na maharage mabichi na njegere kidogo pika kande zako vizuri kula...mambo ni mengi ngoja nikuuitie wataalam Pridah Missy Gf Nuzulati
 
Asante dear.
Michuzi inakinai hlf kila anayepika style ni ile ile.

Nitafanya hivi
 
Kwenye chakula chako jitahidi kuongezea matunda kama parachichi, siku moja moja pika chips na nyama choma na kuna vyakula vya kiarabu kama bokoboko na shuwaa (nyama inafukiwa ardhini kama mkaa),
Nikikumbuka nitaongezea
๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
Elezea vizuri kuhusu hiyo shuwah dear
 


Vyote hivyo bado unakinai, basi au siku zako za kuishi zinaishia
 
Nipe muongozo chef wangu!

Ila kwanini ukaacha u chef dear au mishe za machimbo zimekubana๐Ÿ˜‚
Anhaa nilipoga chef miez mitatu utawala wa wahindi sio kabisa. Nishafanya kazi nyingi sana hiyo ya chef now nimeiacha kama miez sita nyuma. Nowadays nina kabiashara ambacho early next year ninaenda kukipigania kwa nguvu zote mikoani
 
Anhaa nilipoga chef miez mitatu utawala wa wahindi sio kabisa. Nishafanya kazi nyingi sana hiyo ya chef now nimeiacha kama miez sita nyuma. Nowadays nina kabiashara ambacho early next year ninaenda kukipigania kwa nguvu zote mikoani
Hapo kwa wahindi nimekuelewa.
Uzuri ujuzi huo hauozi unaweza kuutumia anytime ukiona haja.

Hongera kwa kubdili upepo.
Nakutakia heri nyingi.๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ