Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

Hiyo ndio sababu wenye connection hawataki kuwapa Vijana wengi kazi Kwa sababu ya upuuzi Kama huu.
Wakati ukiomba mtu unavyolalama na kuomba msaada.
Mtu anakuambia Hana kazi, lakini unakazania kazi yoyote tuu.
Unapewa kazi unaleta utoto
Ngoja nikukumbushe mkuu ndio maana kwenye Sheria Kuna kitu kinaitwa termination of contact mtu kuacha kazi ni jambo la kawaida sana sababu Kuna reasons nyingi zinazomfanya mtu kuacha kazi.

So ukipewa connection sharti uifanye for the rest of your life sababu unaogopa kuumiza hisia za aliyekupa kazi what if kama ni kazi iliyojaa uonevu au unyonyaji? What if kama umepata fursa nyingine? What if kama unataka kujiendeleza.

Mkuu try to think kabla hujaandika nonsense hakuna sehemu nimeonyesha disrespect that why nimekuja hapa jukwaani Kwa ma GT but the badluck nimekutana na low thinker with a lot of emotions kama wewe. But lengo langu ni kutafuta approach nzuri ya kumwambia Mzee aliyenitafutia kazi na sio kumdisrespect.
 
Eeeh umepata vijisenti subili viishe uanze kulala njaa tena ndo utajua
 
Tatizo wewe unataka ushauriwe unavyotaka wewe. Kama ulikuwa na majibu ya mambo yanayokusibu si ungekaa zako kimya tu? Acha upumbavu aisee.
 
Acha tu mkuu.

Maana nimesoma comment hata wanaokushauri uendelee unawajibu kuwa huwezi.

Kwa hiyo ulishafanya maamuzi Yako. Hukuwa na haja ya kuanzisha Uzi, huyo Mzee kama ulivyomtafuta akuombee kazi ndivyo hivyo mtafute umwambie umeshindwa kazi.
 
Bado una safari ndefu sana mkuu you don't know about my life na Mimi sijui maisha yako. my rise and fall are nothing to you so don't try kuforce kuwaza kulinganana na mtazamo wako we have different experience
 
Hauko serious.. yani kwa vyovyote uliyekupa kazi atakuona haukuwa serious na kuna kitu unabidi ukijue Trust ndio kitu unaweza jenga for 1000 yrs ila ukakibomoa kwa sekunde 1
 
Umebania nafasi za watu bure, hukujua kabla kazi unayoomba haikufai?
 
kutafuta kazi nayo ni kazi pia
 
...Na ndio itakuwa Mwisho wa Yeye mukutafutia Kazi....au Hata Kumbomu TU !!!
 
Ndio mana watu huwa hawataki kuwasaidia wengine kupata kazi,mtu kakupambania wengine wamekosa halafu mwishoni unaleta unyangema?
 
NAWEZA NIKAKUITA MJINGA SAMAHANI LAKINI UNAJUA WATU WANGAPI WAMEKOSA IYO KAZI ???,HALAFU UKAPATA WEWE KAOLEWE NA MZUNGU BASI UKAE NYUMBANI YOUR STUPID
 
Ushauri comment #3 unaweza kuwa mzuri zaidi.

Mtafute muonane si habari ya kumpigia simu au kutumia sms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…