Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Nimecheka eti "utakuja kufa vibaya"πππBinafsi sikushauri ndugu yangu utakuja kufa vibaya wewe mpka anapata nguvu ya kumwambia umsomeshe jua hakupendi demu akikupenda hata kukuomba 10k tu anaogopa anajifikiria mara mbili mbili
SOMESHA AOLEWE MKUU.π€Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
Unajieleza sana dogo mm sjataka hizo polimilai zakoYan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa
Nilikuwa natafuta comment yako mkuuUnajieleza sana dogo mm sjataka hizo polimilai zako
Heee!ππMsomeshe demu wako ili akampate soulmate wake chuoni: Wahuni 10 Mstari wa 5
Kuna kazi kubwa kwenye mapenziNilikuwa natafuta comment yako mkuu
Ulichomjibu na jigazeti alilokuja kulishusha kwenye comment yako ni ardhi na mbingu π€£
muoe kwanza ndio umsomeshe.Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
Tumkaushie na hilo fuvu lake mwenyeweHuyu tumwambie au tumwache kwanza ? [emoji23][emoji23]
Tumuache kwanza mkuu....Kwani haoni udongo umekuwa matope?Huyu tumwambie au tumwache kwanza ? ππ
Huo usikivu na unyenyekevu unaenda kuishia huko chuo,atakapoenda kushikishwa Koni,na ukuta na wahuni na ma lecture MBWA wewe na mafanikio yako,si usaidie watoto wa mashangazi zako huko porini,unaleta huruma kwa makarumbembeYan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa
Kuna pahali umesema amemaliza form six.Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
Baada ya miaka mitatu anza ku process umiliki wa bastolaWadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
Jmn mbususu inalindwa sana hadi sio poaπ€£Labda msome wote ,yeye na wewe!ni ushauri tu
Ndio mkuu kamaliza six ndo yupo anangoja afanye process za kuomba chuo na mkopo zikishaaza mwaka huu ndo naombea hapa bora apate huo mkopo wake niwe namboost vitu vidogo vidogoKuna pahali umesema amemaliza form six.
Kama ni hivyo. Aombe mkopo wa Heslb.
Kama ni Vinginevyo kwamba atafeli Fanya Kama wadau walivyosema hapo juu. Mpe ujauzito ndani ya mwezi huu na ujao. Muoe then kamlipie Ada. Ikiwezekana chuo kiwe karibu na unakoishi. Awe anatokea kwako.
[emoji58][emoji58][emoji58]
Adam baada yakumwamini Eva nini kilimkuta kwenye bustani ya edeni βοΈ subiri aanze chuo utaona atakavyobadilika... chukua maneno yangu.Yan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa