Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Kijana, naona mapenzi yanakuchanganya sana. Unaamua kutaka kufanya ujinga unaosababishwa na kilevi Mapenzi.
 
Naunga mkono komenti zote kuanzia ya 2 hadi ya 18 na kuanzia ya 20 hadi mwisho
 
Kuna jamaa mfanyakazi alioa Mnyaturu wa Singida ,Yule dada aliomba akasome,kwa kuwa jamaa alikuwa ameoa tayar akajiamini kuwa hata akimsomesha Yule dada hawezi kumsaliti,kilichotokea dada alimsaliti jamaa ndoa ikitaka kuvunjika kisa kusomesha !Kama unaroho ya Upendo somesha Mkuu😂😂😂
 
Kama anasomea masoma ya Uchungaji sawa tofauti na hapo acha kuvaa bomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…