Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Uone ajabu sana, pamoja na haya maneno kuntu ya wabobezi wa mapenzi humu jf, bado mwamba atakaidi mawazo yao, atampeleka udom/udsm, atalipa ada, atatoa upkeep.

..baada ya miaka mitatu, kilio na kusaga meno.
 
Mchumba hasomeshwi utakuja kujiua wewe kwa aibu akishakupiga chini. Mke mwenyewe kusomesha ni hatari ndio maana anaenda na mimba.
Ondoa hizo emotional reasoning tumia kichwa
 
Habari mkuu...wanaowasomesha halaf wanakumbana na mambo ya ajabu huwa wanaanziwa hivihivi...
Yaani sio kuwa manzi anakua waruwaru tokea mwanzo, hapana, huwa inatokea baada...
Panya huwa anategwa kwa vitu vitamu anavyopenda...
Anyway, unaweza msomesha kama unahela ya ziada ila its a gamble, na sio jukumu lako
 
Mwaibile,soma comment zote kwa umakini .Kuna la kujifunza.Kama utafanya maamuzi kwa kutumia kichwa cha chini huna wa kumlaumu ,na usilete mada humu ya kulialia baada ya kusalitiwa
 
Mkuu ushawahi kata gogo huku unalia?
Unaoga huku unalia?

Unaangalia timu yako pendwa bar iwe simba au yanga huku unalia?

Sasa jaribu
Uone
Hawa paka wa bangladesh atakavomaliza anakugeukaje[emoji16]
 
Jichanganye miaka 3 sio mingi lazima urudi humu unalialia kwa kusalitiwa...hata angekua mke nae hasomeshwi
 
halafu akiachika na kukimbiwa atamfanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…