Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Subiri mafao ya uzeeninilikua part timer hapo, nusu B, nusu chaputa
sasa ni full timer
😉😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mafao ya uzeeninilikua part timer hapo, nusu B, nusu chaputa
sasa ni full timer
😉😀
Kweli kabisa nitajitahid kuzingatia ushauri wakoNdio hivyo.
Wanawake tuna mambo mengi.
Wakati mwingine unahitaji tu mtu wa kukukumbatia, au kukwambia maneno mazuri, au kukutoa dinner.
Ugonjwa unaondoka wenyewe bila hata dawa.
Sasa kwa jinsi maisha yalivyopanda bei, wanaume nao full stress. Hawajui kama hatufanani nao. Wanawake tuna mahitaji mengi
Acha hii comment nii-note pembeni kabisa.Ndio hivyo.
Wanawake tuna mambo mengi.
Wakati mwingine unahitaji tu mtu wa kukukumbatia, au kukwambia maneno mazuri, au kukutoa dinner.
Ugonjwa unaondoka wenyewe bila hata dawa.
Sasa kwa jinsi maisha yalivyopanda bei, wanaume nao full stress. Hawajui kama hatufanani nao. Wanawake tuna mahitaji mengi
Na Leo utalala njee nakuambia wewe ni Cha wote 😰[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23]aah thubutu, labda kama umesahau figures hapo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Oya chukua toto [mention]sophy27 [/mention] mtoto namba E kbsa Kilometer 0 ana jicho fulani hivi la kuombea mkopo Bank
😂 wakimsubiria kwa hamuAtawakuta wanae mbinguni baba baba baba 😀
Ccy umefanya Pregnant Test?!Natumaini ni wazima
Sio muandishi mzuri mnivumlie
Kama ilivo kawaida ya maisha nimepitia mambo kadhaa hapa siku za karibuni ambayo yakanifanya nisiwe sawa hayakuwa mazuri
Baada ya muda kidogo hivi nikaanza kujihisi homa nikaenda hospitali sikukutwa na tatizo lolote zaidi ya dalili ya mafua nimetumia dawa mafua yakaisha lakini Bado mwili hauko sawa Bado najihis kuumwa lakin siumw kiungo chochote na Bado hayo mambo nilipitia yananikosesha raha sana najihis nimepata sonona maana sio hali ya kawaida ni zaidi ya wiki ya tatu
Sinafuraha,
uchovu kutwa nzima
Nakosa usingizi na usingiz unaisha mapema sanaa
Appatite ya kula imepungua
kuamka kutoka kitandani ni ishu asubhi imekuwa tabu sana
Najitahid kujichangamsha hapa kwenye forum lakin kiukweli naona sio poa mnisaidie namna ya kuignore hii hali
Natanguliza shukrani....!!
Kapime pia ccyHapana sijafanya dada