Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?


  • Total voters
    53
Mfukuze haraka
 
Kuna watu wanaishi kwa buku mbili per day na wako na family na wanaishi safi tu.
Ni standard tu ulizojiwekea kua kila siku unaacha 10k na mke huenda kaukuta huo utaratibu na anauendeleza huku hizo buku 7 7 anacheza upatu.

Eti kwa maisha ya dar unaacha 10k, huku sometimes ni kujiendekeza tu. Hiyo hela kwa hicho kipato chako ni kubwa. Kama kila kitu kipo ndani hiyo 10k ananunua nini hasa??
 
Mke ndo anasema iachwe ten bila hivo atashindwa kuunga vizuri chakula
 
Mpige mnada huyo manzi urejeshe vyako
 
Hadithi za wewe oa tu mambo yatakuwa poa ukiwa na mwanamke ndani hata kama hujimudu kimaisha sijawahi kushawishika hata siku moja kwa zama hizi za leo.Mkuu hukupaswa kufanya uamuzi wa kuoa kabla hujajitafuta vizuri.Mimi nimeajiliwa,nimeshajenga na hapa nafikiria kununua gari ila sijawahi kufikiria kuoa aisee.
 

Bajeti yangu mke, mtoto 1, ni 300k tu kwa mwezi hiyo hesabu kama unafamilia kubwa ni sawa
 
Malizia na gari kwanza mkuu ukamilike kwanza ili hata kama mtashindwana anaondoka wewe bado mali ipo, mm nlkurupuka
 
punguza mihemko, maisha bila ndoa yanawezekana!!
Yanawezekana kama mama yako alivyoweza kukuzaa pamoja na kukulea bila ndoa siyo?

Ukitaka kuelewa ulichoandika hapo ni utumbo kama wewe umetokana na ndoa iliyosimamiwa na Sheikh au Padre nenda leo kamwambie baba yako maneno haya atakachokujibu uje uandike kwenye post utakayoni-quote nayo hapa.

Kijana yeyote anayesema ndoa ni scum huyo amelelewa na singo mama that's it!
 
Saana ubachela ni ghali mno..hapo kwenye vyakula vya migahawani ndio kabisa majanga matupu.

vyakula low quality kabisa lakin bei juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…