Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?


  • Total voters
    53
To be honest wakati sijaoa nilikua sina hela kabisa, yaani akili ya utafutaji ilikua imelala kabisa alafu nilikua nime relax tu naona kama kawaida tu yaani nipo nipo.

Nilipokuja kuoa sasa ndio akili ikafunguka, yaani kichwa kikawa active balaa kubuni madili ya pesa na pesa zikawa zinamiminika tu hadi wazazi wakawa wanashangaa kumbe mtoto wao nina akili hivi.

Now nashukuru mungu na namshukuru mke wangu kwa kunikubali kipindi kile katika hali kama ile.

Kauli mbiu yangu : Ukiwa na mke ndio milango ya mafanikio inafunguka labda uamue kuifunga mwenyewe.

Sometimes we push the door that says PULL.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila kitu ni kwaajili ya kila mtu [emoji41] ... Usilazimishe mambo, kwasabab fulan ameweza uczan na wew utaweza, Fanya ukishindwa acha lasivyo utakufa mapema
 
🤗🪓
 
Kaka unaonekana una akili sana 💯
 
Mkeo ana baraka zake, wengine ni misala tu
 
Mm nimeoa mkuu nafahamu mke anavyomaliza hela
 
Nilioa na kipato changu akikua kikubwa nilinunua mtungi mdogo wa gesi unga kilo tano kwa weak mbili na kwa siku naacha elfu 5 tukimiss wali tunanunua mchele kiasi chake na maisha yalienda poa nikatafuta kiwanja na nikajenga japo aijaisha ila nina kwangu...kuhusu kodi majukumu kuzidi aangalie tu chumba anachoweza kukimudu na vyakula vya bei poa kesho nayo ni siku
 
Kweli mkuu umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…