Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

Nilitapika mnoooo 🀣🀣🀣
Maana nilianza kuchanganya Hanson Choice na Coca baadae nikaanza kuchanga na castle lite wacha nitie aibu???
Si unajua ela ya kitongq ilinitia aibu mpaka nikatoa 5000 jamaq akapiga deki matapishi
Pole,bila shaka sasa ni mzoefu na unaweza kumuunga mkono mdau bila shaka,kwa kijiwe chake kipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…