mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Anamaanisha miaka hiyo mtoto akiongea hivyo kwanza atatiwa fimbo sio za taifa hili na hao walio dakana basi watapigwa fimbo ambazo hawatosahau hadi kaburini. Nakumbuka kudakana lilikuwa kosa la kijiji linaishia mpka shuleni. Tuliogooa sana kudakanaSijakuelewa
Hili wazazi hawana muda nao kwa kisingizio cha kutingwa na maisha huku kutwa kucha wakichepuka kutegeana kulea watoto, sasa utakuta mwanaume analala guest ya 20,000 na kuhonga malaya huku nyumbani watoto washindia tembele, hili halifai.Wakishatoka kudakana na kuimbiana Hani wanaanza kuimbiana 'Nalindwa na Mungu'
Yes that's how it's ndio inavyokua wazazi wanachepuka kwanza baadae nyumbani mahesabu watoto nao wanadakanaHili wazazi hawana muda nao kwa kisingizio cha kutingwa na maisha huku kutwa kucha wakichepuka kutegeana kulea watoto, sasa utakuta mwanaume analala guest ya 20,000 na kuhonga malaya huku nyumbani watoto washindia tembele, hili halifai.
Hili linahitaji elimu....hawa wavaa bikini wameharibu watu sana.Yes that's how it's ndio inavyokua wazazi wanachepuka kwanza baadae nyumbani mahesabu watoto nao wanadakana
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea kaniambia Jambo lililonishtua kidogo. Ameniambia watoto wadogo wawili wa pale mtaani wamedakana. Na nilipouuliza kudakana ndio Nini akasema walienda kwenye migomba wakavua nguo na kudakana.
Kwa jinsi alivyoongea,Mimi nimeelewa kuwa hao watoto walifanya mapenzi japo yeye anasema walidakana. Haraka haraka nimejua kuwa lazima Kuna mtu kamwambia kitendo kile ni kudakana .
Kinachonitisha zaidi watoto anaosema wamedakana ni watoto wadogo wachekechea.
Kwa umri wake kuanza kuongea au kusikia Mambo Kama hayo naona Kama sio sawa.
Naombeni ushauri katika mazingira Kama haya namsaidia vipi mwanangu , na pili namweka vipi mbali na hao watoto wengine pasipo kuleta athari. Japo najua kumtenga sio dawa, maana hawezi kuishi ndani peke yake. Tushauriane katika malezi,kwenye Jambo Kama hili unafanyaje kumuokoa mwanao wa kike.
Mdakaji mkuu ndo mmWewe ndio mdakaji?
OkUmezaliwa kwenye mageti makali nini 😅😅😅 huku uswazi watoto huwaambii kitu kwanza watoto wa uswahili mungu awanusuru.
😂😂😂😂Nimecheka japo sijapendaSijui hata nikushauri vipi,nilikua nataka nikwambie uhame huko,lkn huko unakoenda linatokea libaazazi lingine nalo linaanza kumuita mwanao mchumba,kama linatania vile kumbe liko serious...
Anamaanisha miaka hiyo mtoto akiongea hivyo kwanza atatiwa fimbo sio za taifa hili na hao walio dakana basi watapigwa fimbo ambazo hawatosahau hadi kaburini. Nakumbuka kudakana lilikuwa kosa la kijiji linaishia mpka shuleni. Tuliogooa sana kudakana
We Selemani au sio?Mdakaji mkuu ndo mm
Dkt. Gwajima DMfundishe ajue nyeti zake hazipaswi kuguswa na yeyote, kazi ya nyeti ni kwenda haja kubwa na ndogo tu. Kwa umri wake inatosha.
Mchunge asicheze mbali na nyumbani, kwa kumnunulia vitu vingi vya kuchezea nyumbani.
Mtenge kabisa na baadhi ya watoto wa mbwa, ambao hawajapewa malezi mazuri na wazazi wao, wakiwa karibu naye watamuharibu. Kuna wazazi wanalala na watoto wao wa miaka6 kitanda kimoja, mpaka watoto wanawaona "wakidakana".
Afanyie kazi huu ushauri. Kudos shemkama unafahamiana na wazazi wa hao watoto walio 'dakana' wafikishie hili swala ili mfanye kuwakanya wote kwa pamoja mmalize tatizo lote, na kama kuna jinsi wanajifunza hiyo tabia mfahamu pia tatizo limeanzia wapi
Umesema akiacha nyeto alfu ni shemu si umpe?Afanyie kazi huu ushauri. Kudos shem
Ukiacha nyeto utafika mbali 😉
Kwetu mwiko kugawa kwa shemejiUmesema akiacha nyeto alfu ni shemu si umpe?
Mwiko tena si uuvunje yaan umuache aendelee kupiga na wewe upo kwanini usimuachishe?Kwetu mwiko kugawa kwa shemeji
Tutamfutia mke kabila letu hatuvunji miiko kwa uzinzi, ni laana kubwaMwiko tena si uuvunje yaan umuache aendelee kupiga na wewe upo kwanini usimuachishe?