Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

Wewe tena mdogo angu unataka kufanya kazi au kwenda kupata nafuu ya maisha kwa mwanamke wa mithali??
Wewe tunakujua unapenda mashangazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tafuta kazi uko uko dom
 
Wewe tena mdogo angu unataka kufanya kazi au kwenda kupata nafuu ya maisha kwa mwanamke wa mithali??
Wewe tunakujua unapenda mashangazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tafuta kazi uko uko dom
Khaaa sis huyo sio shangazi sasa..

Mi nataka tukasaidiane tuu kwani kuna shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata nikipata unafuu sawa tuu
Au unafurah navyoteseka huku dom sis
 
Khaaa sis huyo sio shangazi sasa..

Mi nataka tukasaidiane tuu kwani kuna shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hata nikipata unafuu sawa tuu
Au unafurah navyoteseka huku dom sis
Mwenzio ndio kwanza anajitafuta na wewe unawaza kujipachika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza kidumu changu cha wine kinafika lini??
 
Kinafika soon..
Alafu nimegundua kitu hata nikileta huwa hamsemi kama imefika au laa mi hapo hata moyo wa kutuma tena nakosa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe liongo umetuma lini?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unatoa ahadi hewa au pesa huna? Useme tukutumie ufanye deriver dogo.!
Na ikiwa nzuri tunakuagiza kwa group, biashara sio mpk uende China hata wine za dom zinaweza kukutoa..!!
 
Sis tuongee vizuri sasa nijue unanitoaje et πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ndo nakukubali an..

Pesa hakuna ndio we tuma ili kesho by tisa hivi mzigo uwe ushafika πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Sis tuongee vizuri sasa nijue unanitoaje et πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapo ndo nakukubali an..

Pesa hakuna ndio we tuma ili kesho by tisa hivi mzigo uwe ushafika πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Umeona sasa ulivyo hauko serious πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa siku zote hizo ulishindwa nini kuwa mkweli?? Haya ntakucheck pm
 
Hizi biashara hazitomlipa sababu ya mtaji wake. Mfano location nzuri ya kuweka transactions unakuta inalipiwa kodi sio chini ya 150,000 kwa mwezi na unalipia miezi sita na ya udalali hapo.

Hiyo ni 1M imekata. Hujaweka zile meza ndani na vioo na mashine za mabenki ambazo zinalipiwa hadi 1M kwa CRDB na NMB. Then ndio uje kwenye float.

Ila kati ya zote maziwa angalau
 
Biashara ya uwakala inaenda kufa au? Mboni watu wanaipiga madongo sana?
Sio kama inakufa ila ishakuwa kama duka la mangi kila mwenye milioni mbili tatu anakimbilia humo. Wenye mitandao wanachofanya ni kupunguza commission tu.

Imagine kuzungusha million 3 halafu upate laki na nusu kwa mwezi hujalipa pango wala mshahara wa mhudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…