Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Basi target yako iwe kwa wanawake mchanganyiko yaani Belo tofauti tofautiNatafuta cargo shorts sipati napata zile za cadet zitapauka. Ila cargo pants zipo za kutosha. Ila nguo za kiume hazitoki sana na zina bei
35,000/- bei ya jumlaMnauzaje hiyo lita 5
Powa ntakucheck naitaka hiyo ila punguza bei tufanye biashara.!!35,000/- bei ya jumla
40,000/- reja reja
8,000/- lita moja
Uza simu (Smartphone) kwa njia ya mkopoKama IPO nzur Zaid tafadhali share
Sawa mkuuHiyo ya M pesa mchawi location tu na kwa wadada naona inawafaa sana haina mishkeli mingi.
Japo wadau wameipiga vita sana ila kwa mimi ningeichagua hiyo.
Chipsi zina mambo mengi na ni lazima utafute mtu wa kukusaidia, uendeshaji wake ni gharama lakini pia inahitaji sana umchunge mfanyakazi wako, tofauti na mpesa ambayo unaifanya mwenyewe.
Jaribu ufugaji.. kilimo cha mboga mboga hela ipoooShukran mkuu
Unauzaje..?
Dogo kama yuko Dar na hio hela, ningemshauri afanye kazi ambazo hazitaki capital investment, issue za cargo transportation, akiji position vizuri Jangwani au Kariakoo, atapiga sana hela na almost hakuna cha maana atakachowekeza.Sio kama inakufa ila ishakuwa kama duka la mangi kila mwenye milioni mbili tatu anakimbilia humo. Wenye mitandao wanachofanya ni kupunguza commission tu.
Imagine kuzungusha million 3 halafu upate laki na nusu kwa mwezi hujalipa pango wala mshahara wa mhudumu.
Mkuu namaanisha nikitafuta kununua. Hapo nilikuwa nachangia hoja yako ya kuuza nguo. Niko na ujasiriamali mwingine ila nina friends wengi kwenye nguo naona hawakuanza na mtaji mkubwa.Basi target yako iwe kwa wanawake mchanganyiko yaani Belo tofauti tofauti
Zina faida sana mitumba
Hapo sawa, nimekuelewa BossMkuu namaanisha nikitafuta kununua. Hapo nilikuwa nachangia hoja yako ya kuuza nguo. Niko na ujasiriamali mwingine ila nina friends wengi kwenye nguo naona hawakuanza na mtaji mkubwa.
Unaweza kufafanua kuhusu usafirishaji mizigo?Dogo kama yuko Dar na hio hela, ningemshauri afanye kazi ambazo hazitaki capital investment, issue za cargo transportation, akiji position vizuri Jangwani au kariakoo, atapiga sana hela na almost hakuna cha maana atakachowekeza. Zipo kazi nyingi zinazotaka mtu aweze tu kuamka mapema na kuchelewa kulala ila pesa anapiga za maana sana.
Deal za mjini ni kwa ajili ya watoto wa mjini. Hicho nilichokiandika hapo kibebe ukifanyie kazi. Kama ni mtoto wa mjini hautakwama ila maelezo utafanya nikeshe hapa mkuu. Nimekupa na location ambayo hizo pigo zinafanyika sana na kwa wingi, panaitwa Jangwani parking ya fuso pale.Unaweza kufafanua kuhusu usafirishaji mizigo?
oya we 🤣🤣🤣🤣Chukua odds za real Madrid, ni 2.11. tia yote halafu sikilizia milio
😂Chukua odds za real Madrid, ni 2.11. tia yote halafu sikilizia milio
Hakuna neno! Hakuna linalo shindikana, ukiwa tayari utasema ili utaratibu uweze kufanyikaPowa ntakucheck naitaka hiyo ila punguza bei tufanye biashara.!!