Eeeh,matumizi mabaya ya ibada ni huyu muumini fake DC anayesubiriwa na mapolisi nje.Bishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Wacha Lilongwe,ni mijizi,hawalipi kodi za serekali.Mafisadi,kazi kuwadhulumu wafuwasi wao kwa sadaka.Mafisadi wakubwa,Kanisa Linafungwa walah
Wana access ndiyo,lakini wanapotoa ushauri huko wanapewa chai,zingatia neno chai,na wanapopewa imeisha hiyoBishops wana acess ya kumwana rais na kumshauri chochote, huyu ni Askofu wa MCHONGO, anaweza akawa huru kuwasilisha maono yake lakini KANISANI wakati wa ibada si mahala pakufnay hivyo, hayo ni matumizi mabaya ya IBADA
Mijizi mikubwa hii,hawalipi kodi kazi.kujusanyq sadaka za wajinga.TRA hawa wangekwenda kuwabana kwa kidi,mijizi hii.Huyu ndio.kakataliwa na Mungu,kwa kutopsta hatavuwrnyikiti wa mtaa,kama ni.kanisa,mtu yoyote aweza akafunguwa,na kuwaibia wananchi.Mwizi mkubwa huyu.Ruka juu lala chini umekataliwa
Unadhani hizo ni nyumba za ibada ama ni mapango ya wazee wa mbawa za tai kuzitumia wakati ukifika.hizi harakati kuhamishiwa kwenye nyumba za ibada ni HATARI SANA
Yeye nmchungaji ndio.Mungu kamkataa,akaanzisha kanisa la mchongo,anawaibia waumini kwa sadaka.Jizi hili,anawaibiq wajinga kwa sadaka na hatoi kodi za serekali.Kama Mungu kamkqtaa sisi ni nani tumkubali,
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu nadhani mchungaji kamaanisha ivo
Huyu mchungaji ni jizi,anawaibia waumini wajinga.Hata wewe unaweza ukajiita mchungaji,ukaanzisha kanisa,akawabia hela waumini wako kwa sadaka.Umelaaaniwa wewe na kizazi chako ..unamuita Askofu mwehu?
Vita ya kanisa dhidi ya waislam Hahahhahha tupo paleeRuka juu shuka chini umekataliwa
Mchungaji wa mchongo hata bublia haijui inasema nininampinga kwa kutumia maandiko, mi ni mkristo nikiwa kanisani sipendi kusikia siasa, nataka kusikia neno la mungu/injili, hayo mengine yenye stress tutayafanya mtaani nje ya kanisa
mchungaji/padre kushawishi watu waamini na kufuata mtizamo wake wa kisiasa akiwa kanisani kama sehemu ya mahubiri ya bibilia, hayo ni matumizi mabaya ya madhabahu
- Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu, Mk 12:17
- Kazi ya kanisa ni kuhubiri habari njema, Luka 4;43
Jizi hili,anawaibia waumini kwa sadaka,Vita ya kanisa dhidi ya waislam Hahahhahha tupo palee
Na matapeli pia wengiMagonjwa ya akili yamekuwa janga kubwa Tanzania kwa sasa.
Jizi hili halipi.kodimahakamani kwa kosa gani. Kuna jinai gani katika aliyosema
Akaunt za kuwaibia waumini kwa sadska za mchongoJE KUFUNGIWA KANISA NA BANK AKAUNTI SIYO HATARI?
Madhabau iheshimiweUbaya ubwela
Majizi hawa wanawaibiya waumini wao kwa sadaka🤣🤣🤣🤣 Hii vita nzito
Ukishawagusa watu wenye Imani tu lazima kiwake