Naona Leo polisi wameruhusu maandamano ya Mbowe

Lissu Hana hizi mbwembwe. Unashindwa kuorganize maandamno ya kupinga utekaji, ila maandamano ya kurejesha fomu unaweza kuorganize.
Akiorganize nyie wapenda ngono na mpira mtatoka? Waliorganize yale ya utekaji mlijitokeza?

Mbowe asisikilize vichaa wa mitandaoni.... akivushe chama salama.
 
Kwani Lissu alikatazwa? Wanaumia nini hawa kima?
sifahamu chochote kuhusu upotoshaji huo,

but, ikiwa maamdamano hayo yana lengo na viashiria vya shari na uvunjifu wa amani kamwe hayataruhusiwa,

hata hivyo,
huenda viashiria vilibainisha wazi mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili kibaraka wao humu nchini walitaka kutumia fursa hiyo kuvuruga amani ya waTanzania
 
maandamano ni haki na uhuru wa kila mTanzania,

maandamano ya vurugu, uharibifu na kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania hayakubaliki

Lini CHADEMA ilifanya maandamano ya vurugu?. Punguza unafiki. Kwanini ukataze maandamano ya kupinga kupotezwa Kwa raia ?. Kuna jambo la msingi zaidi ya kulinda raia?
 
Lini CHADEMA ilifanya maandamano ya vurugu?. Punguza unafiki. Kwanini ukataze maandamano ya kupinga kupotezwa Kwa raia ?. Kuna jambo la msingi zaidi ya kulinda raia?
Gentleman,
samia must go ilikua ibada sio?

na hakuna namna unaweza kumruhusu kibaraka kufanya maandamano Tanzania kwa niaba ya mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhaili humu nchini,

hiyo haiwezekani gentleaman, lazma tuambiane ukweli
 
Lisu hakuzuiwa hana watu wa kumsindikiza

Umeona hao wanaomsindikiza Mbowe ni wangapi?. Mimi nimeona ni akina mama na wapiga Ngoma wanatembezwa kwenye jua Kali. Lissu angeita maandamano pangejaa zaidi ya mara kumi ya huyo dictator.
 
CCM chama Cha majambazi ndicho kinafadhiliwa na mabwenyenye.
 
Gentleman,
samia must go ilikua ibada sio?

na hakuna namna unaweza kumruhusu kibaraka kufanya maandamano Tanzania kwa niaba ya mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhaili humu nchini,

hiyo haiwezekani gentleaman, lazma tuambiane ukweli

Ulitaka tuseme Samiah must stay?. Ulitaka tumsifie mwenyekiti wa CCM asiyejali ulinzi wa raia wake?. Samiah must go, even now.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…