Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

Ana control anga baadhi ya maeneo ndio maana anaweza kufanya operation na kupambana na iran ndani ya syria
Wala ha control anga kaka zaidi ya Gollan heights.
Wenye ku control anga lote ni Russia na Iran.
Hata hiyo Turkiye imeongeza tu kilometa kadhaa kwaajili ya bufer zone ili kujikinga na Kurdish fighters.
 
Wala ha control anga kaka zaidi ya Gollan heights.
Wenye ku control anga lote ni Russia na Iran.
Hata hiyo Turkiye imeongeza tu kilometa kadhaa kwaajili ya bufer zone ili kujikinga na Kurdish fighters.
Tueleze zile operation ambazo mara zote Israel anazifanya huwa anazifanyia wap??
Elewa maana ya control
 
Wameumbwa Ila Wana maarifa na uwezo wa mkubwa Sana kuliko mataifa mengi
Ndo maana aliweza kuwatandika mataifa mengi kwa wakati mmoja NDANI ya siku sita tu
Lakini Wana Agano la milele na Mungu wa Ibrahimu Isaka na Yakobo
Vita zoooteeeee Israel alizopigana nyuma kasaidiwa kiintelijensia na USA na kasaidiwa kisilaha pia.
Na miaka ile waarabu hawakua na upembuzi kisilaha wala kiintelijensia.
Ila sasa je Israel anaweza kufanya kama alichofanya 1967!?
Jibu ni hapana,maana hata waarabu wameanza kuamka kisilaha na kiintelijensia ndio maana umeona Hamas tu imeweza kumsumbua Israel.
 
Tueleze zile operation ambazo mara zote Israel anazifanya huwa anazifanyia wap??
Elewa maana ya control
Unazungumzia control kwa minajili ipi??
Kuna ku control na kuna kuwa na uwezo wa kupita sehem ambayo mwengine ana control.
Anachofanya Israel ni kuwa na uwezo wa kupita katika hizo anga.
Beirut Israel walishambulia kwa drone na wakafanya violation ya Lebanon airspace,je IDF kuwa na uwezo wa kushambulia Beirut kwa anga ndio jibu kuwa wana control anga la Lebanon??
 
Ebu tuambie israel ilikua na miaka mingap ilipoanza kupigana na waarabu???

Real kama tukitaka kuwa wakweli hapa

Kama miaka ile israel iliweza yashinda mataifa ya waarabu pasipo msaada leo hii unazan ni siraha ngap israel inazo za siri!!
Angalia kwene hii operation ya Hamas
30k death . na hii si vita ni kulipiza kisasi

Ikiwa vita mambo yatakua tofauti kabisa kama itaona inakaribia kushindwa itatumia Nyuklia.
Changamoto ni kua waarabu wanatumia hasira si akili na wanajua siraha ambazo israel imekua ikijikusanyia. Na hizo si kwa ajili ya dunia ni kwa ajili ya wenye chuki nao.
Ikumbukwe hawa wanamaumivu ya holocausts hawatakubali tena mambo yrudi waliko tola
 
Boi umeongelea Korea, kabla hujaeleweka umeiingiza na China, lini China imepigana na Marekani ?
Ebu tuliza wenge la Kiyahudi.
 
Sio kosa
 
Kwamba wanajeshi hawapaswi kwenda balozini ?
 
Ni kosa kubwa na upumbavu wa hali ya juu kwa nchi ama jeshi kushambulia ubalozi wa taifa.

Mipango ya mashambulizi inafanyika makambini na vituo vya kijeshi
 
Ubolozi una taratibu zake sio kufanya Kila unalojisikia ukivuka taratibu lazima ujiingize kwenye matatizo

Mageneral ni wanadiplomasia ?
Ubolozi sio sehemu ya kupangia mipango ya kigaidi
Wee jamaa unaongea upuuzi gani ni sheria zipi zinazuia uwepo wa mageneral katika balozi weka hapa ? Maana nina vithibitisho chungu nzima za mageneral kuwepo katika balozi za taifa lao ikiwemo hata nchi yako Tanzania
 
Unazungumzia hii Israel iliyopelekewa msaada wa silaha na marekani Kwa kikundi Cha wahuni Cha Hamas
 
Kwamba wanajeshi hawapaswi kwenda balozini ?
Soma post namba 21.

Majenerali na maafisa wengine waliouawa wanafahamika na pia shughuli zao pale Syria zinafahamika.

Je, unafahamu kwamba ubalozi [kama eneo jingine lolote la kiraia] unaweza kupoteza kinga ya kidiplomasia endapo utatumika kijeshi hususani wakati wa vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…