Kiminyio 01
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 1,389
- 2,025
Source ya habari yako mkuu?Hapana hujui kitu wewe au hujui war history hata moja…
Libya, Iraq, Aghanistan, Syria zote hizo zimeharibiwa umeona madhara US hata kidogo? Nikupe hint sbb it seems hujui mambo in details, Israel ndio The heart of U.S.A… na hakuna sehemu Israel itaguswa US akae kimya, all Israel sasa hivi meli za kivita za US imeizunguka, ili Israel ichakaze Gaza bila mtu yeyote kuingilia, sasa huyo Iran hawezi hata nukta kuisogelea Israel, na atabakizwa magofu kama nchi hizo nilizotaja
Kuna vyanzo vingi siku hizi vya kupata taarifa walau hata kwa muhtasari. Ingia hata Google itakupatia hiyo taarifa.Boi umeongelea Korea, kabla hujaeleweka umeiingiza na China, lini China imepigana na Marekani ?
Ebu tuliza wenge la Kiyahudi.
asikubali mara ngapi? israel kaanza kitambo sana kumbamiza IranAyatollah hawezi kubali wahuni wamvue mavilemba yake
Madaraka ni matamu
Kuna ushahidi wa balozi ya Iran kutumika kijeshi au uwepo tu maafisa wa kijeshi pale inakupa sababu za kushambulia kama kichaaSoma post namba 21.
Majenerali na maafisa wengine waliouawa wanafahamika na pia shughuli zao pale Syria zinafahamika.
Je, unafahamu kwamba ubalozi [kama eneo jingine lolote la kiraia] unaweza kupoteza kinga ya kidiplomasia endapo utatumika kijeshi hususani wakati wa vita?
Bora angerusha makombora kutokea mainland Iran, USA, ulaya, nato wangesita kidogo kujibu mapigo ndani yq Iran, lakini akienda Syria, hapo ameipa nafasi USA na washirika wake, kumtwanga Bashar Assad waliyemtafuta kwa muda mrefu.Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran.
Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote KUTOKA Iran.
Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria
Pia kauli ya Kuanza na Jerusalem Kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili mbaya kwa Israel
Vile vile naonyesha Iran ameamua kupigana vita jumla na Israel na akitamani Sana kutimiza ndoto yake ya miaka Mingi ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia
Huu msafara wa kwenda Syria una maana kwamba Iran hataki kumshambulia Israel moja kwa moja KUTOKA nchini kwake Bali kupitia Syria.
Na pengine anaweza akaanza kuiteka milma Golan ambayo itampa tageti ya moja kwa moja kumshambulia Jerusalem ambayo ndo kipaumbele chake
Sitaki kuzungumzia majibu ya Israel kwa iran lakini nachotamani Iran usijaribu kufanya hivyo ingawa madhara yanakuwa pande zote lakini Ayatollah atakuwa ameleta madhara makubwa kwenye utawala wake
Sasa ulivyo hopeless badala ya kuleta ushahidi wa hiyo vita unakuja kuleta mipasho zaidi kama Khadija Mwanamboka.Kama hujui kitu si bora ungeuliza ?
Sasa unabisha nini kuwa China haijawahi kupigana na marekani
Waliouawa kuwa ni maafisa wa kijeshi,huo ni ushahidi toshaKuna ushahidi wa balozi ya Iran kutumika kijeshi au uwepo tu maafisa wa kijeshi pale inakupa sababu za kushambulia kama kichaa
We pimbi umeisha ambiwa israhell alisaidiwa na united shits of America huelewi nini muabudu mfuuu?Ebu tuambie israel ilikua na miaka mingap ilipoanza kupigana na waarabu???
Real kama tukitaka kuwa wakweli hapa
Kama miaka ile israel iliweza yashinda mataifa ya waarabu pasipo msaada leo hii unazan ni siraha ngap israel inazo za siri!!
Angalia kwene hii operation ya Hamas
30k death . na hii si vita ni kulipiza kisasi
Ikiwa vita mambo yatakua tofauti kabisa kama itaona inakaribia kushindwa itatumia Nyuklia.
Changamoto ni kua waarabu wanatumia hasira si akili na wanajua siraha ambazo israel imekua ikijikusanyia. Na hizo si kwa ajili ya dunia ni kwa ajili ya wenye chuki nao.
Ikumbukwe hawa wanamaumivu ya holocausts hawatakubali tena mambo yrudi waliko tola
Hivyo maafisa wenu wakitembelea balozi zenu zinapaswa kupigwa mabomu ?Waliouawa kuwa ni maafisa wa kijeshi,huo ni ushahidi tosha
Mkuu miaka ya 1990 kurudi nyuma mataifa ya kiarabu yalikua ya kizembe kiuchumi,kisiasa na kijamii.Ebu tuambie israel ilikua na miaka mingap ilipoanza kupigana na waarabu???
Real kama tukitaka kuwa wakweli hapa
Kama miaka ile israel iliweza yashinda mataifa ya waarabu pasipo msaada leo hii unazan ni siraha ngap israel inazo za siri!!
Angalia kwene hii operation ya Hamas
30k death . na hii si vita ni kulipiza kisasi
Ikiwa vita mambo yatakua tofauti kabisa kama itaona inakaribia kushindwa itatumia Nyuklia.
Changamoto ni kua waarabu wanatumia hasira si akili na wanajua siraha ambazo israel imekua ikijikusanyia. Na hizo si kwa ajili ya dunia ni kwa ajili ya wenye chuki nao.
Ikumbukwe hawa wanamaumivu ya holocausts hawatakubali tena mambo yrudi waliko tola
China iliwahi kupigana na USA kupitia North Korea katika vita za Mgawanyo wa Korea 1959.Boi umeongelea Korea, kabla hujaeleweka umeiingiza na China, lini China imepigana na Marekani ?
Ebu tuliza wenge la Kiyahudi.
Maafisa wa kijeshi kuwepo katika balozi inaruhusiwa.Waliouawa kuwa ni maafisa wa kijeshi,huo ni ushahidi tosha
Jidanganye.Israel anamtaka Iran vitani, kagundua ndio chanzo wao kudhambuliwa na hao HAMAS.. hivyo acha wakutane direct zipigwe toune Ayatollah anavyoondoka madarakani
Mkuu umeeleza vizuri lakini ukweli wa taarifa yako ni 30%Mkuu miaka ya 1990 kurudi nyuma mataifa ya kiarabu yalikua ya kizembe kiuchumi,kisiasa na kijamii.
Israel akati inapigana six days war ilitumia ndege vita za kimarekani ukatae ubishe nenda katizame.
Six days war ilitokea kwa sababu ya confrontation za nyuma za 1966 kuja 1967,waarabu hawakua na intelijensia yeyote wala ujuzi wowote wa silaha.Na kipindi kile Israel ilikua ina well trained skilled pilots katika jeshi.
Yani jeshi la anga la Israel lilikua ni balaa hakuna taifa middle east linatia mguu,ombea Israel mpigane vita zote ila asitumie jeshi la anga,akitumia jeshi la anga umeisha.
Matokeo yake Misri kaenda kununua ndege vita 200+ toka kwa Russia mafunzo ya kuzitumia wala hana.
Alichokifanya IDF ni kwenda kuzitwanga ndege zote kwenye airbase ya Misri pale Sinai,na Sinai ndio ikaporwa hapo.
Kwingine kote kuliporwa kwa vita za vifaru,kipindi hiko mwarabu kifaru anajua wapi kutumia kaka!?
Nadhani unaelewa vifaru vya USA kipindi kile vilivyokua noma kiasi cha kumpa ushindi World war 2.Vifaru hivyo hivyo ndivyo alitumia Israel huku akipewa intelijensia toka US.
Muarabu asingeweza kufua dafu.
Ila tuje sasa hivi,Israel anaweza kufanya kama kipindi kile??
Jibu hapana mkuu,mfano mdogo Lebanon tu,Israel kianga hushambulia kwa kamikaze drone hapeleki ndege vita directly maana nao wana SAM za long range Hizbollah.
Pia hizbollah wana intelijensia inayosaidizana na IRGC,unadhani Israel anaweza fanya kama nyuma??
Mataifa ya kiarabu nayo yameinuka mkuu sio kama nyuma.
Ndio maana umeona Hamas ameweza kufanya insurgence kwa Israel mara kwa mara.
Kifupi vita kati ya US na Iran haiwezi kuwa rahisi!!…Marekani imejifunza kutoka kwene vita ya Iraq ilikua bloody…..Jidanganye.
Kama Ayatollah kutoka madarakani angetoka tangia 1980 ambapo Iraq ilivamia Iran na ikasaidiwa kisilaha na kijeshi na France na USA ila vita ilidumu miaka nane kiasi Iraq wakaomba mazungumzo.
Na kipindi hiko IRGC ilikua changa ndio kwanza imetoka kufanya mapinduzi 1979.
Je sasa hivi Iran inaunda makombora ya kuvuka Asia kufika Africa?
Unadhani utaiangamiza kiwepesi??
Una umri gani?Kifupi vita kati ya US na Iran haiwezi kuwa rahisi!!…Marekani imejifunza kutoka kwene vita ya Iraq ilikua bloody…..
Hii ndio sababu hawakurupuki,,,,
Nikukumbushe tu US ni nchi ya democrasia haiendi haiendi vitani bila approval ya bunge na support ya wananchi….
Kwasasa sidhan kama wamarekan wana support vita hiyo….
Tofaut na iran ambayo haiongozwi na democracia Ayatollah /Watawala wa iran wanaweza ingia vitani pasipo kutaka idhini au support ya uma….
Kama ingekua hivo unadhan wananchi wangetaka kodi zao zikasupport houthi wa yemeni, zikasupport Quads Syria,Au hezbollah….. Hapana mwananchi wa hivo anaetaka apate tabu kodi yake iende kuboresha kikundi cha kijeshi nchi nyingine
Naomba nikuulize maswali mawili.Mkuu umeeleza vizuri lakini ukweli wa taarifa yako ni 30%
Vita ya six days war hiyo hapo tuoneshe US!!
Hamna US intellegence wala US help….
Ni dhahili kwamba hujui hata uhusiano wa US na Israel ulitoka wapi!!…..
Basi nikujuze tu ! Uhusiano mkubwa wa US na Israel ulianza kupamba moto baada ya hiki kitaifa kuyashinda mataifa ya kiarabu pekee yake bila msaada ndipo US akavutiwa na hawa watu.
Nikukumbushe tu kipindi hiki cha 1967 US alikua amekwama katika Vita ya Vietnam huko ambako alikua ameingia na anashindwa kujinasua.
Picha nimeweka chini hapo
Aisee mkuu unanivunja mbavu.Kifupi vita kati ya US na Iran haiwezi kuwa rahisi!!…Marekani imejifunza kutoka kwene vita ya Iraq ilikua bloody…..
Hii ndio sababu hawakurupuki,,,,
Nikukumbushe tu US ni nchi ya democrasia haiendi haiendi vitani bila approval ya bunge na support ya wananchi….
Kwasasa sidhan kama wamarekan wana support vita hiyo….
Tofaut na iran ambayo haiongozwi na democracia Ayatollah /Watawala wa iran wanaweza ingia vitani pasipo kutaka idhini au support ya uma….
Kama ingekua hivo unadhan wananchi wangetaka kodi zao zikasupport houthi wa yemeni, zikasupport Quads Syria,Au hezbollah….. Hapana mwananchi wa hivo anaetaka apate tabu kodi yake iende kuboresha kikundi cha kijeshi nchi nyingine