Bro embu kuwa serious bwana.Mkuu. US haendi vitani bila approval!!
Wananchi ndio wanawakilishwa na masenator.
sasa IRAN ni lini wabunge wake waliidhinisha kutuma vita iraq,syria,yemen,Palestina na Lebanone……? mi sikumbuki…..
Iran richa ya kua anaushawishi mashariki ya kati lakini si mkubwa na ushawishi wake mwingi ni kwa nchi zilizojichokea baada ya kutandikwa na vita
Nchi zilizo imara hana ushawishi wowote
Hivi kila wanachoamua masenator wananchi nao wameafiki???
Kama wananchi wameafiki KWANINI WALALAMIKE KODI ZAO ZINATUMIKA VIBAYA KATIKA VITA ZISIZOWANUFAISHA??
KWANINI WAPIGE KELELE MISAADA YA KIJESHI UKRAINE ISITISHWE??
Wameongea serikali bro ila raia walipinga.
Embu kuwa serious mkuu.
Kwahiyo unataka kusema muswada alopitisha Salma kikwete wa mafao ya wenza wa viongozi kisa yeye mbunge muwakilisha raia basi raia wamekubali hilo??
Iran kuwa na ushawishi hizo nchi zilizojichokea kwa vita ina maana kubwa sana kidiplomasia.
Inamaana hata mataifa yaliyoinuka kiuchumi middle east yashaona IRAN INAWEZA KUWA KIMBILIO LA MNYONGE YEYOTE YULE.
Kama China alivyoanza ku gain geopolitical influence kwa kuzisaidia nchi zilizouliwa uchumi wake kwa vikwazo vya USA mathalan Cuba na Venezuela.
Qatar sasa hivi nae kaanza kujisogeza kwa Iran kama Saudi Arabia alivyofanya.