Naona Syria inaenda kuwa uwanja wa vita kati ya Iran na Israel; sijui Assad amekubalije nchi yake kila mtu kujikatia kipande chake

Mkuu. US haendi vitani bila approval!!
Wananchi ndio wanawakilishwa na masenator.
sasa IRAN ni lini wabunge wake waliidhinisha kutuma vita iraq,syria,yemen,Palestina na Lebanone……? mi sikumbuki…..

Iran richa ya kua anaushawishi mashariki ya kati lakini si mkubwa na ushawishi wake mwingi ni kwa nchi zilizojichokea baada ya kutandikwa na vita
Nchi zilizo imara hana ushawishi wowote
Bro embu kuwa serious bwana.
Hivi kila wanachoamua masenator wananchi nao wameafiki???
Kama wananchi wameafiki KWANINI WALALAMIKE KODI ZAO ZINATUMIKA VIBAYA KATIKA VITA ZISIZOWANUFAISHA??
KWANINI WAPIGE KELELE MISAADA YA KIJESHI UKRAINE ISITISHWE??
Wameongea serikali bro ila raia walipinga.
Embu kuwa serious mkuu.
Kwahiyo unataka kusema muswada alopitisha Salma kikwete wa mafao ya wenza wa viongozi kisa yeye mbunge muwakilisha raia basi raia wamekubali hilo??
Iran kuwa na ushawishi hizo nchi zilizojichokea kwa vita ina maana kubwa sana kidiplomasia.
Inamaana hata mataifa yaliyoinuka kiuchumi middle east yashaona IRAN INAWEZA KUWA KIMBILIO LA MNYONGE YEYOTE YULE.
Kama China alivyoanza ku gain geopolitical influence kwa kuzisaidia nchi zilizouliwa uchumi wake kwa vikwazo vya USA mathalan Cuba na Venezuela.
Qatar sasa hivi nae kaanza kujisogeza kwa Iran kama Saudi Arabia alivyofanya.
 
Tatizo watu humu wanaiona iran ni kama vile Sadam hussein wa iraq ilivyokuwa hawa watu zaidi ya miaka 40 wamekuwa na uhasama na kupambana na mataifa ya magharibi kila siku na wamekuwa wanajipanga mno kuhakikisha hilo honest vita ikipigwa pale middle east wakaingia usa ,uk na ulaya yote vs iran hadi wao nchini mwao watakula missile za kutosha ktk majiji yao hivi vijamaa vimebadili meli za makontena zimejazwa missile unazani container ship kumbe vitu vinafunguka na kutema missile wala hawahitaji maaircraft carrier ya mabillioni ,pale mashariki chukulia mfano ktk silaha ,za kujihami za iran kuna hizbullah ambayo ilimchapa myahudi 2006 hadi wakaomba pooh na hii wala sio state actor ni kikundi tu na pia wairan wamebarikiwa mamilitary genius kama yuel marehemu suleiman na wengineo hivi vijamaa startegically vinabattle plan za kueleweka sana sana kama sio hivyo hadi leo hii basi hamas wangekuwa wamesurrender ila ndio miezi sita sasa war is on na wao ndio washauri wa game plan.
 
Bro embu kuwa serious bwana.
Hivi kila wanachoamua masenator wananchi nao wameafiki???
Kama wananchi wameafiki KWANINI WALALAMIKE KODI ZAO ZINATUMIKA VIBAYA KATIKA VITA ZISIZOWANUFAISHA??
KWANINI WAPIGE KELELE MISAADA YA KIJESHI UKRAINE ISITISHWE??
Wameongea serikali bro ila raia walipinga.
Embu kuwa serious mkuu.
Kwahiyo unataka kusema muswada alopitisha Salma kikwete wa mafao ya wenza wa viongozi kisa yeye mbunge muwakilisha raia basi raia wamekubali hilo??
Iran kuwa na ushawishi hizo nchi zilizojichokea kwa vita ina maana kubwa sana kidiplomasia.
Inamaana hata mataifa yaliyoinuka kiuchumi middle east yashaona IRAN INAWEZA KUWA KIMBILIO LA MNYONGE YEYOTE YULE.
Kama China alivyoanza ku gain geopolitical influence kwa kuzisaidia nchi zilizouliwa uchumi wake kwa vikwazo vya USA mathalan Cuba na Venezuela.
Qatar sasa hivi nae kaanza kujisogeza kwa Iran kama Saudi Arabia alivyofanya.
Usichojua wananchi siyo chama au si mtu mmoja!

Hivo maoni tofauti tofauti katika kila jambo liwe zuri au baya ni kawaida.
Hivo usitegemee kuna siku raia wote watakua kwene ukurasa mmoja.
Approval inapimwa kwa %
Na disapproval kwa %
hivo hivo public support inapimwa kwa % pia
 
Kuwa na ushawishi kwa nchi nyonge siyo power na sign ya powerful influence.Dunia tangu mwanzo huongozwa na maamuzi hufanywa na mataifa makubwa yenye nguvu!
Hii ndio sababu Mataifa masikini Kama Africa au baadhi ya Asia na latin america yamekua kifuata upepo.

“Ushindi upo katka kusimama na mataifa yenye nguvu”
Hii ndio maana US ana allies na friends kama katika friends kuna taifa lenye nguvu analifanya “allies”.
NOTE that
 
Kataa kubali.
Maamuzi ya senate sio maamuzi ya raia.
Senate ndio imefanya maamuzi ila raia walipinga ila unakaza tu kichwa bro hoja yako isimame.
Sio kila wanachopigia kura senate basi raia wamekikubali.

Period
 
Kuwa na ushawishi kwa nchi nyonge siyo power na sign ya powerful influence.Dunia tangu mwanzo huongozwa na maamuzi hufanywa na mataifa makubwa yenye nguvu!
Hii ndio sababu Mataifa masikini Kama Africa au baadhi ya Asia na latin america yamekua kifuata upepo.

“Ushindi upo katka kusimama na mataifa yenye nguvu”
Hii ndio maana US ana allies na friends kama katika friends kuna taifa lenye nguvu analifanya “allies”.
NOTE that
Hujaelewa nini nimelenga mzee.
Dunia sasa hivi siasa zake zimebadilika mzee.
China hii ambayo sasa hivi imeanza kuwa na influence kuliko USA ilianza kwa kusaidia mataifa nyonge.
Na hii dunia ina mataifa nyonge mengi kuliko mataifa yenye nguvu,hii imefanya hata mataifa ya chini kuwa na ubavu dhidi ya mataifa makubwa pale yanapoungwa mkono.
Mathalan Venezuela kwa USA kwa kuungwa mkono na China.
Kitendo cha Iran kusaidia mataifa yanayoanguka kumewapa mwanga mataifa mengine ya kiarabu kuwa hata wakitaka kuanguka kuna taifa linaitwa Iran mtetezi wa wanyonge.
Sijui kama point yangu unaipata bro.
 
30% yaweza kuwa kweli,,,, Lakini Iran haina lengo la kusaidia mataifa manyonge na haujawai kua ndio mlengo wake.
Nadhan unafaham mtanange kati ya Iran na Saudi Arabia.
Iran inajitanua kupitia mataifa hayo kwa malengo yafuatayo

1.Kujiwekea buffer zone dhidi ya Israel na USA
Iran imejifunza mambo mengi kupitia Vita ya iraq na NATO, vita ya Libya .Iran inatambua kwamba mapinduzi ya kumtoa kibaraka wao mfalme wa iran yasingeiacha Iran salama.Ilikua ni suala la muda.
Hivo kwa kujitengenezea uzio wa vikundi vya anti semitic na Anti western katika nchi zenye serikali zilizofeli kunaipa nguvu Iran na kuiweka vigumu kushambuliwa au kuanzishiwa vita kirahisi. Hivo basi ni lazma adui apambane na vikundi vyote hivo ambavyo command center ni Iran

2.Kuwa kinara wa ushawishi wa dini ya kiislam
Kama ujuavyo Saudi Arabia ndio kitovu cha Uislam kwan miji mikuu ya dini mecca na medina ipo Saudi Arabia.Lakini pia waislam wa Sunni wakiongozwa na Saudi ndio wanaonekana wana ushawishi zaidi jambo ambalo Iran ambaye ndo kinara wa waislam wa shia hafurahiii .
3.Kuongeza ushawishi wa waislam wa shia
Kila nchi yenye waislam wa shia basi iran ametia maguu na kuongoza vikundi vinavyo control maeneno hayo kama tuonavyo Yemeni au vuguvugu la bahrain
 
Baada ya shambulio la Mchana kweupe la Israel kwenye ubolozi wa Iran tulitegemea majibu kwa Iran.

Lakini mpaka sasa hakuna majibu yoyote kutoka Iran.

Ila inaonyesha msafara mkubwa wa magari ya Iran kuelekea Syria. Pia kauli ya kuanza na Jerusalem kama mji mkuu au mashuri wa Israel ni dalili mbaya kwa Israel.

Vile vile naonyesha Iran ameamua kupigana vita jumla na Israel na akitamani Sana kutimiza ndoto yake ya miaka mingi ya kuifuta Israel kwenye ramani ya Dunia.

Huu msafara wa kwenda Syria una maana kwamba Iran hataki kumshambulia Israel moja kwa moja KUTOKA nchini kwake Bali kupitia Syria.

Na pengine anaweza akaanza kuiteka milma Golan ambayo itampa tageti ya moja kwa moja kumshambulia Jerusalem ambayo ndo kipaumbele chake.

Sitaki kuzungumzia majibu ya Israel kwa iran lakini nachotamani Iran usijaribu kufanya hivyo ingawa madhara yanakuwa pande zote lakini Ayatollah atakuwa ameleta madhara makubwa kwenye utawala wake.
Masaa 48 bado 🤣🤣
 
Kisheria za kimataifa hakuwafanyi washambuliwe.
Ila huo ni utashi wa Israel ambao umevunja sheria za kimataifa za ku invade airspace ya Syria pili kuishambulia Syria.
Ni utashi tu wa Israel ambao kimataifa hakuna kitu kama hicho.
Syria inatumika na Iran kuishambulia Israel. Hutaki Israel ijibu mashambulizi?

Sheria ya kimataifa inatambua haki ya kujibu mashambulizi kama namna ya kujilinda pale unaposhambulia. Soma Ibara ya 51 ya United Nations Charter.
 
Unalazimisha utashi kuwa sheria ya kimataifa bro?
Hivi Damascus ni mpakani na Israel?
Sio Gollan ndio mpakani na Israel??
Yani tena ulipue balozi kwa utashi!?
Huwezi kuwa serious.
Soma tena Ibara ya 51 ya United Nations Charter.

Syria ni uwanja wa vita. Unatumika na Iran kupitia Hezbollah na makundi mengine kuishambulia Israel. Majenerali wa Iran na wanamgambo wengine waliouawa walikuwa wakifanya nini karibu na uwanja wa vita?
 
Syria inatumika na Iran kuishambulia Israel. Hutaki Israel ijibu mashambulizi?

Sheria ya kimataifa inatambua haki ya kujibu mashambulizi kama namna ya kujilinda pale unaposhambulia. Soma Ibara ya 51 ya United Nations Charter.
Unaweza ukaleta ushahidi lini Syria ilitumika kushambulia Israel??
Je unazungumziaje Israel kukalia baadhi ya mipaka ya Syria je hiyo sio violation of international law?
 
Huyo Iran kama anataka kupiga apige amalize hasira zake haya masuala ya wayahudi kushinda kwenye mahandaki , balozi 28 zimefungwa watu wanakosa huduma binafsi naona siyo sawa ni kuwajambisha wayahudi bila sababu ya msingi.
How you wish Iran ingeifuta Israel.Msije kulialia humu tena
 
Soma tena Ibara ya 51 ya United Nations Charter.

Syria ni uwanja wa vita. Unatumika na Iran kupitia Hezbollah na makundi mengine kuishambulia Israel. Majenerali wa Iran na wanamgambo wengine waliouawa walikuwa wakifanya nini karibu na uwanja wa vita?
Ushafeli.
HIzbollah hupigana akiwa Lebanon sio Syria.
Uwanja upi wa vita unaouzungumzia??
Kwani ushasahau mashambulizi ambayo Israel huyafanya kwa Syria mara kwa mara na huku akikalia baadhi ya ardhi ya Syria!?
 
Dah….wat mna vituko sana. Wewe huo msafari wa magari ya Iran kuelekea Syria umeuona wapi? Unapita wapi?
Ule msafari wa wale wana mgambo wa Houth kuelekea Gaza uliishia wapi?
Nyie kile siku mnaibuka taarifa za vitu mnavyo tamani viwe badala ya kuleta taarifa za uhalisia uliopo.
Kama wamejaribu kutaka kumsilimisha Yesu Kuna uongo utawashinda?
 
30% yaweza kuwa kweli,,,, Lakini Iran haina lengo la kusaidia mataifa manyonge na haujawai kua ndio mlengo wake.
Nadhan unafaham mtanange kati ya Iran na Saudi Arabia.
Iran inajitanua kupitia mataifa hayo kwa malengo yafuatayo

1.Kujiwekea buffer zone dhidi ya Israel na USA
Iran imejifunza mambo mengi kupitia Vita ya iraq na NATO, vita ya Libya .Iran inatambua kwamba mapinduzi ya kumtoa kibaraka wao mfalme wa iran yasingeiacha Iran salama.Ilikua ni suala la muda.
Hivo kwa kujitengenezea uzio wa vikundi vya anti semitic na Anti western katika nchi zenye serikali zilizofeli kunaipa nguvu Iran na kuiweka vigumu kushambuliwa au kuanzishiwa vita kirahisi. Hivo basi ni lazma adui apambane na vikundi vyote hivo ambavyo command center ni Iran

2.Kuwa kinara wa ushawishi wa dini ya kiislam
Kama ujuavyo Saudi Arabia ndio kitovu cha Uislam kwan miji mikuu ya dini mecca na medina ipo Saudi Arabia.Lakini pia waislam wa Sunni wakiongozwa na Saudi ndio wanaonekana wana ushawishi zaidi jambo ambalo Iran ambaye ndo kinara wa waislam wa shia hafurahiii .
3.Kuongeza ushawishi wa waislam wa shia
Kila nchi yenye waislam wa shia basi iran ametia maguu na kuongoza vikundi vinavyo control maeneno hayo kama tuonavyo Yemeni au vuguvugu la bahrain
Point ya kwanza mkuu naikubali.
Iran ili kujilinda lazima awe na washirika.
Na hao washirika ameshajiundia kupitia mataifa yaliyoanguka kwa vita.
Ila hayo mataifa hayakumkaribisha Iran bure bure,kuna heavy price Iran amelipa ili kuaminika na hayo mataifa.
Na sera ya Iran ya sasa ni kuwa taifa lolote litakaloamka dhidi ya USA na Israel basi linakaribishwa na kusapotiwa kijeshi na kifedha.
Kuhusu Saudi Arabia tayari walishamaliza ugomvi na sasa wamepatana na balozi zimefunguliwa kati ya hizo nchi mbili.

Kuhusu point ya pili na yatatu kaka Shia huwa hawalazimishi ufate mfumo wao,bali hukushawishi ukikataa basi.
Yemen sio nchi ya kishia ila imempokea Iran japo Yemen mashia wapo ila mashia wa Yemen wana itikadi tofauti na Mashia wa Iran.
Ushia na Usunni ushaachaga kuvutana muda sana.
Mashia Makkah wanaenda kufanya pilgrimage na wanarejea.
Sehemu takatifu itabaki kuwa moja Saudi Arabia tu.
Maugomvi ya Shia na Sunni yalishakwisha.
 
Siku ukisikia USA nayo inatoa wakimbizi Isreal nayo inaicha ardhi za waislam na wanakimbilia kwa Germany
Kumbe Israel ni ardhi ya waisilamu?Sikulijua hili.Yule jamaa aliyewadanganya kuwa alipaa kwenda mbingu ya saba kumshauri Mungu awape swala Tano ndo alileta shida yote hii.
 
Utajua wapi? Waulize UNO Isreal imetokea wapi,
 
Back
Top Bottom