Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

Hili jina la Wanyonge binafsi silipendi kweli yani
 
β€œTuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Inge sound meaningful angesema angalau siku 370+ kabla ya leo
 
Hii ipo kiimani zaidi au ni scholarly opinion ya kidunia?
 
Masikini hana faida
Tuchape kazi kuepuka umasikini
Usawa hauji kwa kuchati
Tuchape kazi wakuu
 
β€œTuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana
Inahitaji miujiza kwasababu hamtaki kukubali kuwa kukataa kwenu Katiba Mpya kwasababu za ubinafsi wenu ndio kunafanya maendeleo ya nchi kuhitaji miujiza!! Kama rasimu ya katiba ya WARIOBA itapitishwa wananchi watakuwa huru zaidi kushiriki katika maendeleo yao na pia kuwa na TAASISI zenye nguvu!!

Kukiwa na TAASISI zenye Nguvu kwa mfano, kusingetokea haya yaliyotokea kwa Samia kuwateua katika nafasi nyeti watu ambao walikuwa hawana intergrity kama ilivyothibitika katika utawala uliopita!! Isingewezekana kwa Rais kuwateua tena watu kama Mafuru, Muchechu na wengine ambao waliondolewa katika utumishi wa umma hapo awali!! Kwavile hatuna Taasisi zenye nguvu kuthibit uteuzi wa namna hiyo ndio maana haya yanatokea na wananchi have no recourse!!
 
Pande moja wanakataa unyonge, pande nyingine inapigania haki ya kuendelea kuwa wanyonge. Ukiwaambia habari za reform za katiba, haki, nguvu ya umma na mengine kama hayo wote wawili wanaungana na kuwa wamoja kuyakataa.
 
Ok mnyonge!!
 
Ukweli mchungu, Africa yote ni wanyonge mbele ya mzungu!

Hatuwezi kujiamini kwa wazungu, na huo ndio unyonge, ila Magufuli tuu ndiye angalau alithubutu Kuwaita mabeberu mchana kweupe
Na ukiitwa mnyonge mbele ya muafrika tunaiitaje???
 
Hii ndo maana ya siasa za kubebwa. Kwa mwansiasa anayejitambua, anafahamu maana ya lugha kama hizo na comfort yake kwa wananchi. Kwa huyu anayepewa kwa sababu baba alikuwa mtunzi wa nyimbo, hajui amachoongea. He is just a devious politician.
Hiyo comfort ya kisiasa while in reality ni choka mbaya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…