Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Watetea legasi ngoja waje kumtukana Nape
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni moja kati ya wanasiasa wanafki wa kutupwa Tanzania!.Mbona kipindi cha marehemu hakusema hiyo kauli ni mbaya?
Hili jina la Wanyonge binafsi silipendi kweli yaniHii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.
Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani wakiongea na simu haloo haloo kama wanapigishana kelele na mtu, hata msikilizani, hakuna smooth connection na mazungumzo.
“Niwaombeni tuwape muda TCRA wakati wakitafuta ufumbuzi, wakati huo tupate huduma lakini zilizo bora, ni jambo linazungumzika.
“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Inge sound meaningful angesema angalau siku 370+ kabla ya leo“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana…”
Halafu ndiye alifunga bao la mkonoAmekaa kikikekike saana huyo jamaa!
Hivi hawezi kuacha mambo ya kijinga...?
Hii ipo kiimani zaidi au ni scholarly opinion ya kidunia?Mkuu umesahau kua mwendazake amejivika cheo cha izilaili.
Waislam wanasema ukiona mtu anafanya kitu kibaya hatua ya kwanza mkataze kwa mdomo,kama huwezi hatua ya pili tumia nguvu zako,kama humuwezi tena hatua ya 3 na mwisho chukia lile tukio na mchukie na anaetenda.
Kipindi cha mwendazake watu wengi walibaki kwenye kuchukia maana hawakua na ubavu tena.ukithubutu kwa hatua yoyote unaweza kunyofolewa roho.
Hivyo mkuu usimulaumu mtu kwa kutoongea kitu kwa wakati ule.
Masikini hana faidaInaweza kuondoka endapo kutakuwa na usawa kati ya wenye nacho na wasio nacho. Kama kuna matabaka, neno 'wanyonge' haliwezi kuondoka. Kama kuna tofauti ya maskini na tajiri, wanyonge watakuwepo tu.
Zab 41:1 Heri amkumbukaye mnyonge; Bwana atamwokoa siku ya taabu.
Mnyonge ni mtu anayetamani kutendewa haki pasipo masharti, lakini hana uwezo. Leo hii kwenye mitandao wanakata salio kablaa hata halijatumika, wanyonge watakosaje kuwepo?
Inahitaji miujiza kwasababu hamtaki kukubali kuwa kukataa kwenu Katiba Mpya kwasababu za ubinafsi wenu ndio kunafanya maendeleo ya nchi kuhitaji miujiza!! Kama rasimu ya katiba ya WARIOBA itapitishwa wananchi watakuwa huru zaidi kushiriki katika maendeleo yao na pia kuwa na TAASISI zenye nguvu!!“Tuondoe hii habari ya sisi wanyonge, sisi wanyonge, inatulemaza, nataka niwaombe, tuondoke katika baadhi ya mambo, ukiambiwa tulipo na tunakotaka kwenda inahitaji muujiza wa ajabu sana
Marehemu alikuwa MbayaMbona kipindi cha marehemu hakusema hiyo kauli ni mbaya?
Pande moja wanakataa unyonge, pande nyingine inapigania haki ya kuendelea kuwa wanyonge. Ukiwaambia habari za reform za katiba, haki, nguvu ya umma na mengine kama hayo wote wawili wanaungana na kuwa wamoja kuyakataa.Inahitaji miujiza kwasababu hamtaki kukubali kuwa kukataa kwenu Katiba Mpya kwasababu za ubinafsi wenu ndio kunafanya maendeleo ya nchi kuhitaji miujiza!! Kama rasimu ya katiba ya WARIOBA itapitishwa wananchi watakuwa huru zaidi kushiriki katika maendeleo yao na pia kuwa na TAASISI zenye nguvu!!
Kukiwa na TAASISI zenye Nguvu kwa mfano, kusingetokea haya yaliyotokea kwa Samia kuwateua katika nafasi nyeti watu ambao walikuwa hawana intergrity kama ilivyothibitika katika utawala uliopita!! Isingewezekana kwa Rais kuwateua tena watu kama Mafuru, Muchechu na wengine ambao waliondolewa katika utumishi wa umma hapo awali!! Kwavile hatuna Taasisi zenye nguvu kuthibit uteuzi wa namna hiyo ndio maana haya yanatokea na wananchi have no recourse!!
Ok sawa, je wew ni mnyonge?Ombea sana hiyo kitu ila kwa tarifa yako Mimi si maskini
ndiyo hivyo dingiMarehemu alikuwa Mbaya
Mbona kipindi cha marehemu hakusema hiyo kauli ni mbaya?
Kama anaogopa kutekwa basi huyo hafai kuwa kiongozi ni msaka fursa kama wengineIli atekwe??
Ok mnyonge!!Inaweza kuondoka endapo kutakuwa na usawa kati ya wenye nacho na wasio nacho. Kama kuna matabaka, neno 'wanyonge' haliwezi kuondoka. Kama kuna tofauti ya maskini na tajiri, wanyonge watakuwepo tu.
Zab 41:1 Heri amkumbukaye mnyonge; Bwana atamwokoa siku ya taabu.
Mnyonge ni mtu anayetamani kutendewa haki pasipo masharti, lakini hana uwezo. Leo hii kwenye mitandao wanakata salio kablaa hata halijatumika, wanyonge watakosaje kuwepo?
Mkuu kundi la wasiojulikana hakuna asieliogopa even you 😂😂😂😂Kama anaogopa kutekwa basi huyo hafai kuwa kiongozi ni msaka fursa kama wengine
Na ukiitwa mnyonge mbele ya muafrika tunaiitaje???Ukweli mchungu, Africa yote ni wanyonge mbele ya mzungu!
Hatuwezi kujiamini kwa wazungu, na huo ndio unyonge, ila Magufuli tuu ndiye angalau alithubutu Kuwaita mabeberu mchana kweupe
Mbona Lissu hakuogopa wala Mbowe?Mkuu kundi la wasiojulikana hakuna asieliogopa even you 😂😂😂😂
Hiyo comfort ya kisiasa while in reality ni choka mbaya!!Hii ndo maana ya siasa za kubebwa. Kwa mwansiasa anayejitambua, anafahamu maana ya lugha kama hizo na comfort yake kwa wananchi. Kwa huyu anayepewa kwa sababu baba alikuwa mtunzi wa nyimbo, hajui amachoongea. He is just a devious politician.
Mbona Lissu hakuogopa wala Mbowe?