Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Ccm waombe radhi hadharani kwa uovu uliotendeka kipindi cha awamu ya tano..
Kuna waliouawa,waliojeruhiwa vibaya,walofutwa kazi kionevu,waliofungwa kimabavu,waliotekwa na kuteswa hao watarudishiwa vipi??
Ombeni radhi hapo ndipo tutahisi wanauungwana
Mkuu na wale waliobomolewa kule Kimara/Mbezi nao waangaliwe kwa jicho la huruma pia, hata kifuta machozi.
 
Unamkubali mtu aliyevunja sheria kwa kupora pesa za watu? alichofanya ni ujambazi.
 
Nikikumbuka namna alivyokuwa akitokwa jasho kila mahali,hakika sihasa co mchezo
 
Duh nchi hii
 
Vipi ile BILICANA yetu mkuu na wewe mwenyewe ulikuwa mwanachama wa kujirusha pale!.
 
Hao hao kina nape wamo humo na walishaona wa Tanzania ni wajinga wanaropoka na mijitu mijinga inashangilia hii nchi ina watu wajinga sana ndio maana hii inchi inaendeshwa kisiasa sana.
Mjinga wew na shetan wako marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…