Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"

"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.

Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".

Huyu nae amepewa Uwaziri kwa hisani tu
Hivi toka amekuwa waziri kuna jambo gani la maana amefanya zaidi ya kuongeza tozo kwenye miamala na makodi kibao. Kupandisha bei za bando huku wenyewe wakitumia vocha za kupewa na selikali.
 
Juzi jumamis kuna sehemu niliitwa kuwafanyia Installation ya program fulan na hapo kuna kama kakiwanda tu! Ila nilipongia mule ofisin nikuta kuna Bureau De chang, ni wahindi, wanafanya biashara hiyo mule ndan ila hakuna ata bango nje kuonyesha kuwa pale wanabadilisha pesa za kigen! Nafikiri hii ndiyo Tanzania wanayoitaka watanzania ili wakishapiga mrungura wao waende Dubai kushangaa magorofa na ma high way za Dubai.
Inasikitisha sana . Huku ndio kuna wizi haswa
 
Raia huwa tunashangilia sana lakini madhara yanapotokea nisisi pia tunapiga kelele na kulialia..

"Mmeshiba ~ ndiooo."
"Mnanjaaa ~ ndiooo".

Umasikini wa Watanzania na Tanzania kwa kiasi kikubwa unachangiwa sana na wafanyabiashara wezi wasio waaminifu wanaoshirikiana na wanasiasa walio kwenye mifumo kuifirili nchi.
Hao hao kina nape wamo humo na walishaona wa Tanzania ni wajinga wanaropoka na mijitu mijinga inashangilia hii nchi ina watu wajinga sana ndio maana hii inchi inaendeshwa kisiasa sana.
 
Kama chadema wangelikuwa na watu wenye Akili kidogo,huu ndo ulikuwa muda wao wa kuingia ikilu na kuandika Historia....Yaani mistake wanazozifanya Ccm kwa kipindi hiki ilikuwa ni njia Tosha sana ya Chadema kufunga magori Mengi dhidi ya Ccm.
Kabisa
 
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"

"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.

Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".

Chezea mama wewe..

Waliopora pesa wako wapi? Mbona hamujawashtaki.
 
Tangia Magufuli afe hela ya Tanzania imeimarika sana
Shilingi ya Kenya ambayo ilifika 22 sasa ni 18

Kupanda kwa dola ni ishu ya demand and supply tu, dola zikija nyingi nchini kutokana na utalii, mauzo ya nje na uwekezaji Shilingi inapanda, zikipungua shilingi inashuka.

Uchumi ni akili sio manguvu
Jiwe alikuwa madman
 
Juzi jumamis kuna sehemu niliitwa kuwafanyia Installation ya program fulan na hapo kuna kama kakiwanda tu! Ila nilipongia mule ofisin nikuta kuna Bureau De chang, ni wahindi, wanafanya biashara hiyo mule ndan ila hakuna ata bango nje kuonyesha kuwa pale wanabadilisha pesa za kigen! Nafikiri hii ndiyo Tanzania wanayoitaka watanzania ili wakishapiga mrungura wao waende Dubai kushangaa magorofa na ma high way za Dubai.
Nafikiri na hao wanaowatetea(Nape et al) wanazitumia hizo kutakatisha na kutorosha pesa. Ukiona matajiri wako kimya na wanasifiasifia jua nchi inaliwa.
 
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?

===
Nape akiwa Clouds FM amesema

"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa wenzangu waliokimbia nchi machozi yao yamefutwa na na furaha imerudishwa kwao wamerudi nyumbani"

"Wale Wenye mahotel ambao hotel zao zilifungwa kwa sababu ya COVID 19 machozi yao yamefutwa kupitia royal tour. Watalii wamejaa. Wale waliokuwa na magari ya kusafirisha watalii waliokuwa wamepaki Arusha na kwingineko wamefutwa machozi na Rais Samia Suluhu Hassan".

"Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena"

"Kubwa ni kwamba tumefurahishwa na umeendelea kutugusa sana Waziri Nape.

Asante kwa kufika na Tarehe 25 tutakuwa hapa kwenye Kilele cha Malkia wa Nguvu kwa ajili ya kuwapa tuzo akina dada na mama zetu waliosababisha na kufanya vyema katika nyanja mbalimbali".

Kwako Oxpower, MISULI, Holly Star, cotyledon, TikTok2020, Mbaga Jr, deina, Hassan Mambosasa, dr namugari, Beemind, KimpaGhasha na team nzima, Hamuoni kuwa JPM alivuruga nchi?
 
Cha kushangaza sio hao watu kufutwa machozi bali ni ule ukweli kwamba huyu rais wa sasa alikuwa ni sehemu ya huo uovu na wala hakupinga wakati huo sasa leo anayafanya haya kama njia ya kujitafutia umaarufu wa kisiasa baada ya kushindwa kupambana na uchumi unaozidi kuporomoka kila uchao. Bure kabisa.
Hujui Afrika mtawala anakuwa na washauri lukuki,lakini badala ya kumshauri,yeye ndiye anayewashauri.
Unamshaurije mtu anayetamba kuwa yeye hashauriki wala haambiliki.
Labda kama hujipendi na uko tayari kuface consequences.
 
Back
Top Bottom