Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

Daaah me pia imenikuta hiii naambiwa mimi ni mchawi.....namroga yeye na mtoto wangu aiseee. .nimeachana naye mwisho wa siku kaenda kuzalishwa na mganga...
USIISHI NA MWANAMKE MPUMBAVU. Ulifanya vizuri sana kuachana naye mkuu. Congrats.
 
Mkuu Hilo ni tatizo la akili tu. Fika hospitali utapata ufumbuzi wa tatizo lako, usimuache maana anahitaji msaada wako. Achana na mambo ya waganga na maombezi uchwara huko nenda kabariki sawa ulizopewa hospitali. Binafsi nina mtu wangu wa karibu alikua na tatizo hilo pia, ufumbuzi ulipatikana hospitali.
 
Mimi sijali mood swing wala mudi swangu, mimi nakupasua makofi Mwanzo mwisho kmmae.

Yaaani uniletee mimi usnge wako alafu unichezee akili eti "ilikuwa mood swing" *****
 
Umeongea ukweli kabisa,nilichepukaga nikapata mtoto wa inje,asilimia kubwa ya ugomvi wake huwa unabase na hilo suala
 
Mtt wenu amefariki kipindi gani? Na Alikuwa na umri gani? Isije kuwa hiko ndio chanzo. Pengine amejaribu ku-bear pain na kuonesha yupo OK sasa mambo yame-burst
Angekuwa hai nazani angekuwa na miaka 10,na aliishi miezi tisa,alizaliwa akiwa na miezi 8 na alikuwa anampenda sana
 
Yaani ni yule mtu mnaweza kushinda naye vizuri tu,lakini anachokiwaza yeye anachukulia kama ni kweli umekifanya na ndipo anapoanza kuongea au kulalamika kwa sauti
Pole sana,hata mm kuna mtu wa karibu sana nami anashida hiyo,namuomba sana Mungu anisaidie niweze kuvumilia mapito haya.
 
Nilishaachana naye kama mwaka mmoja uliopita lakini yeye bado anamawenge haamini
Jua hiloo mkuu ilimradi anakuzalia hanywi dawa basi lea watoto wako ukiingia ulizia watoto wako woi ukihitaji kubarikiwa anza na wazazi , ndugu , watoto wako . Basi .... mana mwanadamu ambaye hata hamjazaliwa naye ningumu kuweka asilimia 100 kumwamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…