Nashauri taifa limteue Paul Makonda kuwa mrithi wa Faustine Ndugulile pale WHO

Hebu rudia tena kwa sauti unamshauri nani..!!? 😳 tuliza wenge wewe sema ushauri wangu na sio nalishauri taifa unalishauri ukiwa kama nani..!!?
 
Mako
Makonda hana fani ya utaalamu wa Magonjwa, wala hajawahi kuwa hata nurse. WHO wanataka Daktari kitaaluma na si porojo.
 
Mako

Makonda hana fani ya utaalamu wa Magonjwa, wala hajawahi kuwa hata nurse. WHO wanataka Daktari kitaaluma na si porojo.

Great

Umejuaje hana fani ya utaalamu wa magonjwa? Makonda fani yake ni nini?

Amebobea kwenye nini?
 
anapaswa kuwa daktari wa binadamu mkuu
 
Mtumeeeeee! Kweli nchi hii kuna watu wasiojua….ndio maana CCM bado inapeta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…