Villanova tito
Member
- Dec 20, 2016
- 96
- 115
- Thread starter
- #81
Nimejiua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu.Nimejiua
R.I.PNimejiua
Dah umekufa arafu kazi imepatika nilikuwa nakupambania kwer mwananguNimejiua
Mkuu huu unfiki mpaka mtu afe ndio uoneshe unataka kumsaidia.Dah umekufa arafu kazi imepatika nilikuwa nakupambania kwer mwanangu
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mtu ambae keshampeleka mtu leba hawez jiua kwa stress za mtandaonSema umu ndani watu mna maneno ya kukatshana tamaa so poa....mtu kama uyu stress zkimzdi akakatsha uhai wake mtakuja na comment za kujifanya si angesema tu mi nngemsaidia nyenyenye roho mbaya tu
kama alioa akiwa na kazi?Dar Mzee unaoa wakati huna sehemu ya kukuingizia kipato?? Hilo ni kosa ona unaitesa familia yako hiyo hela ya mlo mmoja unaipata wapi?? Komaa napo hapo hapo
Boda Boda nao watakua walishaanza kukugongea.
Nafasi za kazi nyingi ni geresha 😁 kabla hujaomba kazi jiulize huyo mwenye kutangaza nafasi hana ndugu?Angalia uzi wa Nafasi za kazi (mauzo) upo humu kama unakidhi vigezo apply unaweza kupata.
Nikweli mkuu, wanatangaza kukamilisha tu recruitment process ila kwa hali ya kawaida inakuwa na mtu tayari, angalau International organisations angalau kuna kaweledi ila local organisation both government na private sectors kwasasa changamoto ni kubwa sana bila kikaratasiNafasi za kazi nyingi ni geresha 😁 kabla hujaomba kazi jiulize huyo mwenye kutangaza nafasi hana ndugu?
Huko international ndio balaa sababu top incharge anaweza kuwa na jina lake la mfukoni. Analisogeza kwa HR tu na ujumbe hio kazi mpeni huyo aliotajwa.Nikweli mkuu, wanatangaza kukamilisha tu recruitment process ila kwa hali ya kawaida inakuwa na mtu tayari, angalau International organisations angalau kuna kaweledi ila local organisation both government na private sectors kwasasa changamoto ni kubwa sana bila kikaratasi
Kuna jamaa yangu kapata taasisi moja ya kimataifa, hr manager ngozi nyeupe labda ukutane na waswahili,ukibahatika kuonana na watu wasio watz utaenjoy sanaHuko international ndio balaa sababu top incharge anaweza kuwa na jina lake la mfukoni. Analisogeza kwa HR tu na ujumbe hio kazi mpeni huyo aliotajwa.
Sasa we bisha uone kama hujarudi kitaa na mamishaara wanayolipana ni mamillion ya kueleweka. Kazi ya kipumbavu mtu anakula 800k
Ndio mkuu, wale weupe wanaangalia unavyojieleza tu ila hamna usumbufu wa zaidi na kazi unapewa straight away baada ya kumjibu utaiweza. Amna mambo ya subiri tutakujulisha.Kuna jamaa yangu kapata taasisi moja ya kimataifa, hr manager ngozi nyeupe labda ukutane na waswahili,ukibahatika kuonana na watu wasio watz utaenjoy sana
Waswahili sisi tuna Ujinga mwingi sana, HR alitaka kunichomoa baada ya Mzungu kuwa tayari ameshasema niwe offered job, ilitokea shida sana mpaka HR Alipewa onyo kali sana na kazi nilianza after sometime nkaona isiwe shida nkasepa zangu, Wazungu ni next levelNdio mkuu, wale weupe wanaangalia unavyojieleza tu ila hamna usumbufu wa zaidi na kazi unapewa straight away baada ya kumjibu utaiweza. Amna mambo ya subiri tutakujulisha.
Mie nazungumzia hizi Int. NGO zenye top management za waswahili. Ndio zina ufala kama kawaida.
Sasa si utuachie ata picha yako tuku R.I.PNimejiua
Huyo alitaka ampange ndugu yake au mtu wake ila alitaka afanye kama kukupangua maana unakuta ndugu yake alishafanya interview awali. So anaambiwa tumchukue mmoja mzungu akakupendekeza wewe hapo.Waswahili sisi tuna Ujinga mwingi sana, HR alitaka kunichomoa baada ya Mzungu kuwa tayari ameshasema niwe offered job, ilitokea shida sana mpaka HR Alipewa onyo kali sana na kazi nilianza after sometime nkaona isiwe shida nkasepa zangu, Wazungu ni next level
🤣🤣hizi zenye top mgt za waswahili unaweza gawana na mtu mshahara hata mwaka mzima, halafu mtu kama huyo naye anaenda Kanisani au Msikitini kuomba dua na anatoa sadaka na zakaNdio mkuu, wale weupe wanaangalia unavyojieleza tu ila hamna usumbufu wa zaidi na kazi unapewa straight away baada ya kumjibu utaiweza. Amna mambo ya subiri tutakujulisha.
Mie nazungumzia hizi Int. NGO zenye top management za waswahili. Ndio zina ufala kama kawaida.