Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

m-yala

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
65
Reaction score
93
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
 
Mkuu mbona kwa mwenye ujuzi wa sales hapa bongo maisha mepesi sana mana bidhaa za kuuza kwa commission kibao.

Kama upo serious unaweza sales nipm tufanye biashara na pia kuna wanaotafuta wauzaji wa bidhaa kwa commossion wengi tu bahati mbaya wanaoomba kazi wanakuwa sio wajuvi kivile wa sales.
 
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
Install app ya ajira yetu, kazi kibao za sales na data entry zimetoka saivi makampuni tofauti, try your luck, you never know..
 
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.

kampuni ya METL wanahitaji watu wa BRAND AMBASSADOR jaribu bahati yako
 
Habari zenu wakuu natafuta kazi Nina uzoefu katika maeneo yafuatayo ikiwemo operations Manager, Personal assistant, stock controller, data entry reports, supervisor, operations customer care Nina umri wa miaka 23 namba yangu ya simu 0783068930,0654918030 muwe na siku njema.
 
Fanya fasta
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
 
Habari zenu wakuu Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina udhoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe MWENYE bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weredi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
Unapatikana wapi?

Jr[emoji769]
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email

watumie hawa jamaa cv zako powercooltechservices@gmail.com
 
Habari zenu wakuu

Mimi ni kijana natafuta kazi kwa maeneo yafuatayo ambayo nina uzoefu nayo kwa hali ya juu sana ikiwemo senior stock controller, sales, customer care service operator, operation manager, na supervisor.

Kwa wewe mwenye bakery, petrol station, na makampuni mengine tunaweza kufanya kazi pamoja na kwa weledi mkubwa ili kuleta maendeleo.

Namba zangu za simu 0654918030,0783068930. Email
Umeshapata?
 
Habari zenu wakuu, mm ni Binti elimu yang n ya certificate Nina uzoefu sn na kaz ya cashier nmefany sehm mbalimbali.

Ni mchapakaz na mwaminifu sn.. Kwny supermarket, restaurant, ofisi yyt nk Tyr. Niko Dar Tabata.

Mawasiliano yng 0764423726/0737142315. Shukrani.!
 
Habari zenu waungwana... Natafuta kazi ya kulipwa kwa siku. Mimi ni Binti elimu yang ni certificate.. Kazi yoyote niko tayari. Niko Dar es salaam mawasiliano yangu 0764423726
 
Kwa bnt n rahs tafuta hotel iliyo karibu au mgahawa au kama una malengo hata bar huwez kosa kaz huku mara nying huwaa naona wana pay 3k per day....hongera kwa kutochagua kaz

Vile vile mashule meng kaz za usaf upishi au kusaidia upishi kwa mabnt huwa na chances mingi...kila la heri ndg.
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni mwanamke natafuta kazi. Kama una hitaji mtu wa kupika ktk mgahawa Niko hapa, najua kupika chapati, maandaz, supu najua pia kupika na chakula.. nk Dar Tabata mawasiliano yng 0764423726.

Asanten
 
Back
Top Bottom