Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.
Habari ya jion wakuu,

Mimi ni binti mwenye elimu ya certificate nlisomea clearing and forwarding chuo. Nmekuja kwenu kuomba, kama una company au rafiki anaitaji mtu wa declaration nina weza kuadeclare documents za magari local + transit.

Mimi ni mwaminifu na mchapa kazi.

Mawasiliano yangu 0764423726 Niko Dar es Salaam.

Asanteni
 
Habari zenu wakuu... Mimi ni binti Nina elimu ya certificate in clearing and forwarding Niko Dar.. naomb ajira au internship kwa mtu mwenye company ya clearing au kama umeckia mtu anataka declaration. Nawez kuassess documents za magari local na transit pia.. mawasiliano yangu 0764423726 asante
 
Habari zenu wakuu... Mimi ni binti Nina elimu ya certificate in clearing and forwarding Niko Dar.. naomb ajira au internship kwa mtu mwenye company ya clearing au kama umeckia mtu anataka declaration. Nawez kuassess documents za magari local na transit pia.. mawasiliano yangu 0764423726 asante
Omba za TPA

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Habari... Natafuta ajira, nmesomea clearing and forwarding, nafasi ya declaration clerk naweza kuassess documents za local na transit pia... Niko Dar mawasiliano yangu 0764423726. Àsante sana.
 
Natafuta ajira, Niko Dar naweza kuassess documents za gari local bond na transit, container, yaan item zote. Kwa mawasiliano 0764423726
 
Mimi Nina uzoefu ktk masuala ya clearing and forwarding. Natafuta kazi. Naweza kutumia system za tancis na single window. Niko Dar es salaam Niko free kufanya kama declaration clerk hata operation officer. 0764423726
 
Ukipewa KAZI ya kuleta wateja walau wawili Kwa mwez unaweza kuwaleta?

Na uko mkoa gani?
 
Habari Ndugu zangu, nawasalimu kwa Jina la jamhuri ya muungano. Mimi ni fundi welding mashuhuri, nafanya Kaz na makampuni, mbali mbali wakiniuzia kazi either ni ofc, shirika, nk.

Nina timu yngu kwa ajili ya kufanya Kazi.

Mawasiliano 0714051979/0688501039
 
Mungu azidi kukufungulia upate kazi nyingi Fundi
 
Mimi ni fundi welding nafanya Kaz zngu kwa ufanisi mkubwa na pia Nina timu kubwa kuhakksh kazi inafanyik kwa wepesi na ufanisi... 0714051979/0688501039
IMG-20220928-WA0092.jpg
IMG-20220928-WA0090.jpg
IMG-20220928-WA0088.jpg
IMG-20220928-WA0087.jpg
IMG-20220928-WA0094.jpg
IMG-20220928-WA0093.jpg
IMG-20220928-WA0089.jpg
 
Tatizo huwa mnaweka namba mkipigiwa hampokei, nimepiga hiyo namba ya Airtel hupokei
 
Pia ungeweka na aina za welding unazofanya ili zikitokea za aina hiyo watu wakutafute.
Kwa mfano Metal arc welding,Tig welding/Mig welding n.k
 
Back
Top Bottom