Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.
Habari za mchana. Mimi ni fundi welding mzoefu sana nafanya Kaz zngu kwa ufanisi mkubwa na Nina timu yngu... Km una Kaz yko Niko hapa 0688501039/0764423726
 
Habari za mchana. Mimi ni fundi welding mzoefu sana nafanya Kaz zngu kwa ufanisi mkubwa na Nina timu yngu... Km una Kaz yko Niko hapa 0688501039/0764423726
Location, sample ya kazi ulizowaifanya
 
Habari ya jion.. mim ni Binti natafuta Kazi kwenye makampuni ya clearing and forwarding as declaration clerk ( Assessor).

Najua kuasess documents za magari local na transit, loose cargo na container pia.

Kwa mawasiliano 0764423726 Niko Dar
 
Fundi welding Niko hapa, ukinihitaj popote nafika.

Nafanya kazi kwa kwa uzoef mkubwa sn, Kazi yng inajielez yenyewe kwny makanisa, mashirika makubwa, makampuni na sehemu zingine.

Karibu kwa mawasiliano 0764423726/0737142315

IMG-20221011-WA0065.jpg
IMG-20221011-WA0069.jpg
IMG-20221011-WA0068.jpg
IMG-20221011-WA0067.jpg
IMG-20221011-WA0066.jpg
 
Back
Top Bottom