Omba za TPAHabari zenu wakuu... Mimi ni binti Nina elimu ya certificate in clearing and forwarding Niko Dar.. naomb ajira au internship kwa mtu mwenye company ya clearing au kama umeckia mtu anataka declaration. Nawez kuassess documents za magari local na transit pia.. mawasiliano yangu 0764423726 asante
Deadline ishapita
Nko DarUkipewa KAZI ya kuleta wateja walau wawili Kwa mwez unaweza kuwaleta?
Na uko mkoa gani?
Samahani Boss naomb piga namba hii..0764423726Tatizo huwa mnaweka namba mkipigiwa hampokei, nimepiga hiyo namba ya Airtel hupokei
Pia ungeweka na aina za welding unazofanya ili zikitokea za aina hiyo watu wakutafute.
Kwa mfano Metal arc welding,Tig welding/Mig welding n.k