Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Ukikoswa kujitambua kwenye maisha unatapatapa na utatapatapishwa, uwezi kuwa na ajira na pesa na kutafuta mwanamke wa ndoa social media, watu bora ni adimu kizazi hiki jasiri cha uovu kilichokoswa mema na ndio maana kinajiweka wazi kufahamisha umma ni chema, wema ambao hakina.

Ukiona mwanaume anatafuta wanawake social media jua hana ubora wa kuwa mume na Baba wa familia, majira haya wanawake ni bidhaa cheap iliyodorola sokoni ikihitaji walanguzi.

Haya ni majira ya kuficha ubora wako ili kugundua nia na lengo la unayemuhitaji, mwanaume jifanye maskini ili wavutiwe na haiba yako upendo uwe ni kwa jinsi ulivyo na sio ulivyonavyo, wewe kijana MD umekwama na elimu yako kujitangaza ulivyo na unavyo vimiliki.
 
Hapo sasa ndio unashangaa wananitukana bila sababu, kama wanajijua sio bikra si wake kimya
Sasa wewe unataka kujitilisha huruma humu unatukanwa huoni u sensitivity ktk mada yako? Yaani bikra inatamkwa tuu kama just sikio au mguu! Kweli maadili sio kama yameshuka bali hayapo kabisa.
 
Asante kwa maoni
 
Sasa wewe unataka kujitilisha huruma humu unatukanwa huoni u sensitivity ktk mada yako? Yaani bikra inatamkwa tuu kama just sikio au mguu! Kweli maadili sio kama yameshuka bali hayapo kabisa.
Huoni kua bikra ni thamani ya mwamke? Maadili yameshuka kiasi kwamba anasema mema anaonekana ametukana
 
Hapo pagumu
Ataekwambia anayo hayupo.
Na ata akikwambia anayo mpk upige ndo utajua.
Tafuta mwenye Tabia njema na hofu ya Mungu, kuna waliobikiriwa wakawa vicheche pia
Sio kweli wapo waliojitinza na wanao zote ila asante kwa maoni
 
Hao washenzi watakuwa watu gani zaidi ya hawa wanaotafuta bikira hapa jukwaani JF??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…