Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :

  • awe Muslim
  • mweupe
  • 19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
  • awe amelelewa kimaadili
  • awe tayari kuwa na watoto watatu
  • awe kabila lolote
  • awe mwembamba itapendeza
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
Ukikoswa kujitambua kwenye maisha unatapatapa na utatapatapishwa, uwezi kuwa na ajira na pesa na kutafuta mwanamke wa ndoa social media, watu bora ni adimu kizazi hiki jasiri cha uovu kilichokoswa mema na ndio maana kinajiweka wazi kufahamisha umma ni chema, wema ambao hakina.

Ukiona mwanaume anatafuta wanawake social media jua hana ubora wa kuwa mume na Baba wa familia, majira haya wanawake ni bidhaa cheap iliyodorola sokoni ikihitaji walanguzi.

Haya ni majira ya kuficha ubora wako ili kugundua nia na lengo la unayemuhitaji, mwanaume jifanye maskini ili wavutiwe na haiba yako upendo uwe ni kwa jinsi ulivyo na sio ulivyonavyo, wewe kijana MD umekwama na elimu yako kujitangaza ulivyo na unavyo vimiliki.
 
Hapo sasa ndio unashangaa wananitukana bila sababu, kama wanajijua sio bikra si wake kimya
Sasa wewe unataka kujitilisha huruma humu unatukanwa huoni u sensitivity ktk mada yako? Yaani bikra inatamkwa tuu kama just sikio au mguu! Kweli maadili sio kama yameshuka bali hayapo kabisa.
 
Ukikoswa kujitambua kwenye maisha unatapatapa na utatapatapishwa, uwezi kuwa na ajira na pesa na kutafuta mwanamke wa ndoa social media, watu bora ni adimu kizazi hiki jasiri cha uovu kilichokoswa mema na ndio maana kinajiweka wazi kufahamisha umma ni chema, wema ambao hakina.

Ukiona mwanaume anatafuta wanawake social media jua hana ubora wa kuwa mume na Baba wa familia, majira haya wanawake ni bidhaa cheap iliyodorola sokoni ikihitaji walanguzi.

Haya ni majira ya kuficha ubora wako ili kugundua nia na lengo la unayemuhitaji, mwanaume jifanye maskini ili wavutiwe na haiba yako upendo uwe ni kwa jinsi ulivyo na sio ulivyonavyo, wewe kijana MD umekwama na elimu yako kujitangaza ulivyo na unavyo vimiliki.
Asante kwa maoni
 
Sasa wewe unataka kujitilisha huruma humu unatukanwa huoni u sensitivity ktk mada yako? Yaani bikra inatamkwa tuu kama just sikio au mguu! Kweli maadili sio kama yameshuka bali hayapo kabisa.
Huoni kua bikra ni thamani ya mwamke? Maadili yameshuka kiasi kwamba anasema mema anaonekana ametukana
 
Sasahiv nahisi Kuna washenzi wanatabia ya kurubuni vitoto vidogo ili wawatoe bikra kiasi kwamba ni nadra kukuta bikra hata kwa watoto wa shule ya msingi,...... Hii ni kero kubwa sana serikali iingilie kati!! Kiwe kigezo Cha mwanamke kwenda form six! Yaani ili mwanamke aingie form six awe bikra
Hao washenzi watakuwa watu gani zaidi ya hawa wanaotafuta bikira hapa jukwaani JF??
 
Back
Top Bottom