Obed maagi
Member
- May 24, 2024
- 19
- 34
Ukikoswa kujitambua kwenye maisha unatapatapa na utatapatapishwa, uwezi kuwa na ajira na pesa na kutafuta mwanamke wa ndoa social media, watu bora ni adimu kizazi hiki jasiri cha uovu kilichokoswa mema na ndio maana kinajiweka wazi kufahamisha umma ni chema, wema ambao hakina.Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
- awe Muslim
- mweupe
- 19 to 22 years
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
- awe amelelewa kimaadili
- awe tayari kuwa na watoto watatu
- awe kabila lolote
- awe mwembamba itapendeza
Ukiona mwanaume anatafuta wanawake social media jua hana ubora wa kuwa mume na Baba wa familia, majira haya wanawake ni bidhaa cheap iliyodorola sokoni ikihitaji walanguzi.
Haya ni majira ya kuficha ubora wako ili kugundua nia na lengo la unayemuhitaji, mwanaume jifanye maskini ili wavutiwe na haiba yako upendo uwe ni kwa jinsi ulivyo na sio ulivyonavyo, wewe kijana MD umekwama na elimu yako kujitangaza ulivyo na unavyo vimiliki.