Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

We ni trako
 
Kumbe ushaamua kuwa unataka kuwa mwenyewe, afu unasingizia uongo.
Ndo maana mnarogwa, umemchezea binti.wa watu 5yrs na 2kids afu una muacha, ukitoka hapo unakandia singo mamz.
Nyieee nawahurumia.
Bro huelewi tu ila ni changamoto
 
Bora afikie kukuambia uwalee utapeleka hata mama kuliko akienda nao utakuwa mradi wake
 
Jitahidi uwe unamdinya hadi ukimaliza analala fofo na uwe unamtoa out za hapa na pale.marriage is liability🥳
Haya ni mawazo tu. Hivi, unajua akili ya mwanaume anaewaza familia itakula nini?Inategemea pia na uwezo uliopo. Af, kuna vitu mnafananisha. Mwanamke asiekutaka, anaelazimisha nafsi, unakuwa nae kimwili, ila roho ishahama. Hizo out zitamaliza hela tu.
Mwanamke anaekupenda kwa dhati, hawezi kuruhusu out za kila mara, maana hiyo hela inaweza wasaidia kwa mambo mengi.
 
Swala la watoto, Ni kama huna hela ila kama unajimudu kiuchumi hao watoto watakua Vizuri kabisa
Si kweli, kwa sababu mwanaume utahudumia, ila malezi huwezi. Na pia, haya unayoyaona ni matokeo ya kizazi kisichojua upendo wa wazazi. Ndo maana, tusingekuwa tunakurupuka, kwenye kuoa, hata background ya mtu ina umhimu sana. Mwanamke aliyekulia maisha ya kuzurura na kutamani vya kila mwanaume, hata umpe nini.

Hivyo, ikibidi unafanya, ila ukijua watakuwa na mapungufu kwa namna moja ama nyingine, tofauti na waliolelewa na wazazi wote.
 
Tafakari maamuzi yako upya, kuna uwezokano mkubwa ww ndio ukawa tatizo mpaka huyo mwanamke kupelekea kuwa hvyo,.katika maisha ya ndoa moto hauzimwi na moto,.ww ni mtoto wa kiume hvyo ww ni kiumbe imara na jamii inajua kuwa mwanaume ni kiumbe imara na mwanamke ni kiumbe dhaifu..mimi kama mwanaume mwenzako nakushauri kutokana na uzoefu wangu ebu jaribu kuwa igiza dhaifu muonyeshe upendo na kumjali huyo mwanamke acha kumkosoa kwa makosa yake ya kila siku mpe muda ajirekebishe mwenyewe,kama huna ushahidi ya kuwa amewahi kuku saliti basi usimuache huyo mwanamke..
 
😹😹🤣 Eti 20k mwezi mzima ila wanaume wanachekesha sana..!!

Sasa si bora uishi bila mume ujue moja..!!
Yani nimeshangaa sana, inawezekanaje?

20,000 ni ya kununua kichupa changu kimoja tu cha Mascara 😅 inamaana ukiolewa na huyu mwanaume hata lotion huimudu na wapwa wakikuomba kabando ka 5,000 huwezi kuwatumia.

Bora ubaki single tu!
 
Haiwezekani muachane bila kuathiri watoto, hivyo fanya maamuzi yako huku ukijua watoto lazima waathirike, kama unashindwa ni bora uvumilie tu kwa faida ya watoto.
Hakuna kitu kinaitwa "kuvumilia kwa faida ya watoto". Msipotoshane, hakuna kitu muhimu kama utulivu wa kihisia (saikolojia).
 
Hahahahahaha nicheke mie. Umeongea point sana. Tatizo zinawafaa watu amabao hawajawahi kuishi hayo maisha. Dunia hii, hakuna kitu kinachoweza kuendesha maisha kama uvumilivu. Lakini sasa, kumbuka. Mwanamke anapolalwa nje, na halalamikii kubakwa, basi jua wewe ushamtoka rohoni. Na mpaka afikie hatua hiyo, si jambo la siku moja. Sasa basi,vyanzo ni vingi mno. Na bahati mbaya ukutane na mwanamke anaezijua hela; utajua hujui. Sema tu kwenye maisha ya ndoa, unajifanya kuomba ushauri tu kwa sababu kichwa kinawaka moto, lakini haiwezi kutokea ukafanyia maamzi ushauri uliopokea.
 
Thibitisha kuwa hakuna
Binadamu tunatabia ambazo zipo in our DNA. Hatuwezi kubadili, kucheka kwenye kuraha, kulia kwenye majonzi, kusononeka kwenye huzuni, KUPIGANA AU KUKIMBIA KWENYE HATARI,.... Na nyingine nyingi, fomular zinazotumika kwenye mapenzi hazina tofauti sana na zile za vitani. Hata matokeo pia hufanana. Ni kushinda au kushindwa. Na kwenye kushindwa ndo watu wanasalimu amri, wanauwa au wanakimbia.. Hakuna pambano ambalo mtu unashindwa alaf unabaki kwa ajili ya mtu mwingine. Ukibaki unakua huna pakukimbilia, unasalim amri unakua mtumwa. Nimetumia nguvu kubwa ili unielewe. Sijui kama nimefanikiwa!!!!
 
Umesema hakuna kitu kinaitwa kuvumilia kwa faida ya watoto , mbona wapo waliofanya hivyo wewe unasemaje hakuna ?
 
Umewa



Mkuu umeshawahi kujiuliza mfano ukikata moto leo Watoto wako wataishije!?,mkuu uwepo usiwepo maisha lazima yaendelee ishi kwa ajili yako,najua huwezi kuelewa
Kuna tofauti kati ya aliyefariki na aliyeamua kuondoka. Athari kwa mtoto ni tofauti
 
Take home yake ni 300k, yeye anamuachia wife 2k kila siku. Tatizo ni wife badala ya kununua nyama au samaki au kuku yeye ananunua mchicha fungu mbili, kitungu kimoja na mafuta ya kula robo na unga nusu kilo tu. Pesa nyingine anatia ndani
Bro Hilo jambo ni blames kwa me wengi Yani you fight madogo wale vizuri unakuta mchicha madagaa daah Yani inachisha kwa kweli, ukila hoteli roho inakusuta


GOod life iz money, kwishaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…