Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

Amani iwe kwenu nyote,

Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Ukibahatika kumpata mwambie, hii mitungi ya gesi yenye picha yake inamdhalilisha ,kwani wengi wanapewa,wanatumia gesi iliyopo, ikiisha hawana fedha za kujaza gesi nyingine,matokeo yake mitungi inafutwa ile picha yake,na mtungi kuuzwa kwenye makampuni ya gas kwa Tsh 10,000/=
 
Amani iwe kwenu nyote,

Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Weka tu humu jamii forums unachotaka kumwambia ujumbe utamfikia
 
Back
Top Bottom