Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

Ila kiukwel wangeweka ata jukwaa la maoni kwa rais wa tz kama si kuonana nae private. Jaribu kwa viongoz wakubwa wakupe njia huenda M-ngu akasikia ombi lako.
 
Amani iwe kwenu nyote,

Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Wewe Gabeji mleta mada Chadema wewe rudia kusoma post zako zote unazoanxisha humu Jamii Forums halafu jitathmini.wewe mwenyewe kama unastahili kuonana na Raisi
 
Nenda Ikulu.
Kaongee na receptionist.
Yule receptionist .
Nenda Ikulu.
Just WALK IN if you want.
Please, message yenyewe isiwe No Reform. No Elections. Utaishia Coco Beach.
Baba yako alivyokuwa anakutana na wananchi sio sawa na hawa wa sasa.
Hawa wa sasa wanapenda kuabudiwa, wanajiita ni viongozi ilhali ni watawala.
Kiongozi gani hataki kukutana na wananchi wake!!??
 
Wewe Gabeji mleta mada Chadema wewe rudia kusoma post zako zote unazoanxisha humu Jamii Forums halafu jitathmini.wewe mwenyewe kama unastahili kuonana na Raisi
Kwa hiyo kuwa CHADEMA ni ugaidi au uhaini!!??
Kuwa CHADEMA unakuwa si Mtanzania!!?
Kuwa CHADEMA kunamyima mtu uhalali wa kukutana na kiongozi wake!!??
Pendejo mkubwa wewe.
 
Kwa hiyo kuwa CHADEMA ni ugaidi au uhaini!!??
Kuwa CHADEMA unakuwa si Mtanzania!!?
Kuwa CHADEMA kunamyima mtu uhalali wa kukutana na kiongozi wake!!??
Pendejo mkubwa wewe.
Asome post zake kwanza halafu ajitathmini
 
Mwenye kujua protoko please
Anzia kwa Mwenyekiti wa kitongoji atakupa barua ya kukjtambulisha kwa Mwenyekiti wa Mtaa, yule wa Mtaa atamuhusisisha Mtendaji wa Mtaa.

Kama issue ya kumuona Rais itakuwa ya kisiasa....basi utapitia route ya kisiasa....diwani, Mbunge, na kamati za Siasa za Mtaa, Kata, wilaya, Mkoa hadi Taifa. Kama issue yako ni ya kiutendaji Serikalini itapita kwa Mtendaji Kijiji/Mtaa, Kata, Mkurugenzi wilaya, anaweza kumuhusisha DAS, na Mkuu wa wilaya, kisha RAS, na Mkuu wa Mkoa, hadi Taifa, kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara husiKa, na Waziri wake.

Mimi ndivyo ninavyowaza, na ndivyo ningefanya. Kama ningekosea basi wahusika watusaidi kuteleweshA.
 
Amani iwe kwenu nyote,

Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Hakikisha unaandika hoja zako kwenye karatasi, maana kabla ya kumfikia hoja zako zinaweza kuwa zimeyeyuka, inaweza kuwa nyepesi mfikia rais wa USA kuliko marais wa Afrika mashariki
 
Tumia lugha mbovu au mtukane mtandaoni
chap tu utakamatwa na police kama utatrend sana lazima atapata taarifa..atatamani akuone live hapo ndo utamwambia shida zako.

simple like that!
 
Bila shaka kabla ya kuonana nae watakuhoji shida Yako Kwanza
Sio rahisi kihivo asee
Cc Smart911
Vijana wa Makumbusho wana mambo mengi sana, siku moja boss wao ameniita ofisini kwake walinisumbua sana , mwishoe wakaona boss wao ananisindikiza ,walijaa kwenye mfumo ,nikikumbukaga huwa na cheka sana
 
Back
Top Bottom