Natamani kuonana na Rais Samia, “face to face and privately”. Nina ujumbe wake, nitamfikiaje?

I
Amani iwe kwenu nyote,

Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
KO HV HAWA WATU WANAJIDAIGI WAKO BIZE SASA HATA UKIWA NA UJUMBE WA VIFO VYAO ILI WAJIANDAE NA SAFARI YAO YA KUTOKURUDI HUWA HUWAPATI WANAKUFA NA UCHAFU WAO NA MOTONI WANACHOMWA
 
Ukibahatika kumpata mwambie, hii mitungi ya gesi yenye picha yake inamdhalilisha ,kwani wengi wanapewa,wanatumia gesi iliyopo, ikiisha hawana fedha za kujaza gesi nyingine,matokeo yake mitungi inafutwa ile picha yake,na mtungi kuuzwa kwenye makampuni ya gas kwa Tsh 10,000/=
Na wewe muongo mitumgi gesi haijaisha huo utafiti wako wa kusema grsi 9kiisha hawataweza kuweka umeutoa wapi?

Picha yake inamdhalilishe mtu

Wewe ni mjinga fulani hater na hufiki.mbali kwa roho mbaya hiyo
 
Mwambie na umkumbushe kuwa , makatibu wa CCM wilaya, Makatibu wa Jumuia za CCM,ngazi ya wilaya, karibia wilaya zote nchini, wamechoka,kukaa kituo kimoja Cha KAZI Kwa muda mrefu,wabadikishwe vituo vya kazi ili kuboresha utendaji ngazi ya wilaya
 
Amani iwe kwenu nyote,

Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Zamani mtu kama wewe kabla ya kumkaribia muheshimiwa,unapigwa sindano ili kupoteza mawasiliano ya akili yako na ikulu ndogo,then unaruhusiwa kuingia hata ukitaka kulala huko poa tu....
 
Jaribu kwenye twitter yake kule ila kama ujumbe ni noreform no election utakula tofali kama kina sativa 🤣
 
Kama waziri anashindwa kuonana na Rais Hadi anakuja front kulalamika, ilo sahau boss
 
Zamani mtu kama wewe kabla ya kumkaribia muheshimiwa,unapigwa sindano ili kupoteza mawasiliano ya akili yako na ikulu ndogo,then unaruhusiwa kuingia hata ukitaka kulala huko poa tu....
Duuu, ujumbe si utapotea kama akili zimepotea
 
Mwambie na umkumbushe kuwa , makatibu wa CCM wilaya, Makatibu wa Jumuia za CCM,ngazi ya wilaya, karibia wilaya zote nchini, wamechoka,kukaa kituo kimoja Cha KAZI Kwa muda mrefu,wabadikishwe vituo vya kazi ili kuboresha utendaji ngazi ya wilaya
Huo ujumbe sio kusudio langu mkuu
 
I

KO HV HAWA WATU WANAJIDAIGI WAKO BIZE SASA HATA UKIWA NA UJUMBE WA VIFO VYAO ILI WAJIANDAE NA SAFARI YAO YA KUTOKURUDI HUWA HUWAPATI WANAKUFA NA UCHAFU WAO NA MOTONI WANACHOMWA
Kama ndo hivyo waweke utaratibu wa mwana nchi kuonana na rais
 
Back
Top Bottom