KO HV HAWA WATU WANAJIDAIGI WAKO BIZE SASA HATA UKIWA NA UJUMBE WA VIFO VYAO ILI WAJIANDAE NA SAFARI YAO YA KUTOKURUDI HUWA HUWAPATI WANAKUFA NA UCHAFU WAO NA MOTONI WANACHOMWAAmani iwe kwenu nyote,
Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Na wewe muongo mitumgi gesi haijaisha huo utafiti wako wa kusema grsi 9kiisha hawataweza kuweka umeutoa wapi?Ukibahatika kumpata mwambie, hii mitungi ya gesi yenye picha yake inamdhalilisha ,kwani wengi wanapewa,wanatumia gesi iliyopo, ikiisha hawana fedha za kujaza gesi nyingine,matokeo yake mitungi inafutwa ile picha yake,na mtungi kuuzwa kwenye makampuni ya gas kwa Tsh 10,000/=
Hawachelewi kusema anatafuta pakutokea haha
Zamani mtu kama wewe kabla ya kumkaribia muheshimiwa,unapigwa sindano ili kupoteza mawasiliano ya akili yako na ikulu ndogo,then unaruhusiwa kuingia hata ukitaka kulala huko poa tu....Amani iwe kwenu nyote,
Naomba msaada wa kumfikia Mheshimiwa Rais. Nia ni njema, ni manufaa ya taifa kwa ujumla.
Daa! Lakin jambo nyeti sana mkuu
Huo ujumbe sio kusudio langu mkuuMwambie na umkumbushe kuwa , makatibu wa CCM wilaya, Makatibu wa Jumuia za CCM,ngazi ya wilaya, karibia wilaya zote nchini, wamechoka,kukaa kituo kimoja Cha KAZI Kwa muda mrefu,wabadikishwe vituo vya kazi ili kuboresha utendaji ngazi ya wilaya
Kama ndo hivyo waweke utaratibu wa mwana nchi kuonana na raisI
KO HV HAWA WATU WANAJIDAIGI WAKO BIZE SASA HATA UKIWA NA UJUMBE WA VIFO VYAO ILI WAJIANDAE NA SAFARI YAO YA KUTOKURUDI HUWA HUWAPATI WANAKUFA NA UCHAFU WAO NA MOTONI WANACHOMWA
HahahAu labda anataka kumfikishia jumbe za ndugu TumainiEl huenda anahisi wasaidizi wake hawajawahi kumtonya Bosi wao
KALE NI KACHAWA. umexahau mkuuKama Steve Nyerere the comedy anaweza kuonana na mama kirahisi kwanini Prof Mkenda ashindwe??