Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
Task force imeundwa kwa ajili ya utekaji halafu unataka force hiyo hiyo izuie utekaji? You ate not serious mkuu.Mjiulize tangu mmetengeneza hizo taskforce je zimeleta matunda gani kwenye jamii , makosa hayohayo bado mnaendelea. Kuyafanya.
Wambura amenogewa na rushwa huyu mtu si salama kwa taifa kabisa na macho yake ya bangi yale anakula bangi, huyu IGP ni katili na mbinafsi sanaMimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea na utekaji wanazidi kuchochea moto kwenye jamii?
Swali kwa DGIS mombo wewe na IGP wambura mnaamini katika utekaji ni njia ya kuliponya taifa wakati huu mambo yameshaharibika?
Mjiulize tangu mmetengeneza hizo taskforce je zimeleta matunda gani kwenye jamii , makosa hayohayo bado mnaendelea. Kuyafanya.
Kwasasa kunyamazisha watu ni vigumu tafuteni njia bora za kutatua matatizo ambayo jamii inahitaji serikali iyafanye zaidi ya kamatakamata/ utekaji unaoendelea.
Ni ushauli tu nimewapa mkono. Wa chuma siyo suluhishi ya matatizo yaliyopo hivi sasa.
mpaka muache fujoMimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea na utekaji wanazidi kuchochea moto kwenye jamii?
Swali kwa DGIS mombo wewe na IGP wambura mnaamini katika utekaji ni njia ya kuliponya taifa wakati huu mambo yameshaharibika?
Mjiulize tangu mmetengeneza hizo taskforce je zimeleta matunda gani kwenye jamii , makosa hayohayo bado mnaendelea. Kuyafanya.
Kwasasa kunyamazisha watu ni vigumu tafuteni njia bora za kutatua matatizo ambayo jamii inahitaji serikali iyafanye zaidi ya kamatakamata/ utekaji unaoendelea.
Ni ushauli tu nimewapa mkono. Wa chuma siyo suluhishi ya matatizo yaliyopo hivi sasa.
9 December tunarudi tena barabarani hadi muweke ushahidi ni wapi kura 31m zimetoka.mpaka muache fujo
Unajua taratibu za kukamata raia ???Hawatekwi,wanakamatwa
baada ya dec 9 tutaunda tume ingine baada ya kichapo9 December tunarudi tena barabarani hadi muweke ushahidi ni wapi kura 31m zimetoka.
Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea na utekaji wanazidi kuchochea moto kwenye jamii?
Swali kwa DGIS mombo wewe na IGP wambura mnaamini katika utekaji ni njia ya kuliponya taifa wakati huu mambo yameshaharibika?
Mjiulize tangu mmetengeneza hizo taskforce je zimeleta matunda gani kwenye jamii , makosa hayohayo bado mnaendelea. Kuyafanya.
Kwasasa kunyamazisha watu ni vigumu tafuteni njia bora za kutatua matatizo ambayo jamii inahitaji serikali iyafanye zaidi ya kamatakamata/ utekaji unaoendelea.
Ni ushauli tu nimewapa mkono. Wa chuma siyo suluhishi ya matatizo yaliyopo hivi sasa.
Undeni hata mia, ila safari hii watakufa hata familia za askari mkileta za kuleta siku hiyo.baada ya dec 9 tutaunda tume ingine baada ya kichapo
🤣🤣 skia hii kijana, nikuhakikishie tu hakuna atakaendamana dec 9 kwa taarifa nlizonazoUndeni hata mia, ila safari hii watakufa hata familia za askari mkileta za kuleta siku hiyo.
Nimekusikia mzee kutokana na hizo taarifa ulizo nazo.🤣🤣 skia hii kijana, nikuhakikishie tu hakuna atakaendamana dec 9 kwa taarifa nlizonazo